🤣🤣🤣Kitawaka 2024
hawatabiliki unaweza kushangaa kesho nyuki wanakufuata kila kona.. 🤣 🤣Kitawaka 2024
Kama ni halmashauri usioe mapema mkuu subiri walau baada ya miaka 4 take it from me utanishukuru baadaeKaka Mshahara wa Kwanza tu, Naoa Maana wakati najaza form HR .anasema umeoa nasema hapana , Una mtoto nasema hapana ...thn nina miaka now 33 akauliza... So ukizaa now Tuseme na miaka 34 unajua mtoto wako wa kwanza akifikisha umri kama wako wewe utakuwa ushastaafu 🤣🤣, nikwambia Mkuu we acha tu , jobless thn niwe nimeoa si ningekuwa nachapiwa tu ..maana kula yangu yenyewe ilikuwa papatu papatu
🤣 🤣 kwann asioeKama ni halmashauri usioe mapema mkuu subiri walau baada ya miaka 4 take it from me utanishukuru baadae
Atakula unga kama nyoka🤣 🤣 kwann asioe
mmhh kumbe halmashauri ukiwa na kihelehele cha kuoa unaweza geuka kobokoAtakula unga kama nyoka
🤣🤣🤣🤣 Daah!!Atakula unga kama nyoka
hiyo 1.3m ni baada ya makato ama?Wanalipa kwenye Halmashauri zote mkuu inategemea tu wewe ni mtu wa Kada gani
Ni kweli entry level bachelor's wengi halmashauri wanaanzia TGS D na TGS E, ila wengine tumeanza na TGS E kwenye 1.3M
Naongelea Veterinary medicine
Basic Mkuu yaan hapo baada ya makata Kama una HESLB net itakuja Hadi laki nanehiyo 1.3m ni baada ya makato ama?
Mkuu sisi Watumishi wa halmashauri tumekosa nini?Kama ni halmashauri usioe mapema mkuu subiri walau baada ya miaka 4 take it from me utanishukuru baadae
Kwa huku halmashauri MD,VET, PHARMACIST ndio madonBasic Mkuu yaan hapo baada ya makata Kama una HESLB net itakuja Hadi laki nane
Laki 7.6 ikichinjwa PAYE, HESLB, NHIF, TALGWU inabaki laki 4.9 hadi laki 5.mmhh kumbe halmashauri ukiwa na kihelehele cha kuoa unaweza geuka koboko
Engineers je ?Kwa huku halmashauri MD,VET, PHARMACIST ndio madon
Hivi vyama vya wafanyakazi sioni faida yake kwa wanachama, vinakula tu pesa aisee.Laki 7.6 ikichinjwa PAYE, HESLB, NHIF, TALGWU inabaki laki 4.9 hadi laki 5.
Ingiza laki 5 kwenye matumizi yako na mke.
Kodi 100000
Kula kujibana sana 300000
Kula wewe kazini 90000
Hadi hapo imekata tayari lakini bado:
Nauli ya kazini
Bili umeme, maji, king'amuzi, vocha
Gesi au mkaa
Hujanunua nguo, mke hajasuka
Lazima ujenge urafiki na mangi
Hivi vyama vya wafanyakazi sioni faida yake kwa wanachama, vinakula tu pesa aisee.
duuh aisee kuna haja ya kujiongeza nje ya kazi, mana maisha yapo juu sana kwa sasaBasic Mkuu yaan hapo baada ya makata Kama una HESLB net itakuja Hadi laki nane
hiv hiz habar ya vyama vya wafanyakaz ni huko halmashaur tu au? maana kuna baadhi ya taasisi sijaona hiz mambo za vyama vya wafanyakaziHR kuna commission wanapewa na hivi vyama kila wakiingiza kichwa
Inaogopesha lakini hakuna jinsi,kuoa ni muhimu japo tumechelewa sana,wengi wetu wa 2016 tuko kwenye 30s.... tusipooa,tukisubiri tutazeeka Sasa.Tukiingia kazini nikuoa tu kwanza.Laki 7.6 ikichinjwa PAYE, HESLB, NHIF, TALGWU inabaki laki 4.9 hadi laki 5.
Ingiza laki 5 kwenye matumizi yako na mke.
Kodi 100000
Kula kujibana sana 300000
Kula wewe kazini 90000
Hadi hapo imekata tayari lakini bado:
Nauli ya kazini
Bili umeme, maji, king'amuzi, vocha
Gesi au mkaa
Hujanunua nguo, mke hajasuka
Lazima ujenge urafiki na mangi
yaani kwa hayo makato unabaki na hela ya bando. 🤣 🤣Laki 7.6 ikichinjwa PAYE, HESLB, NHIF, TALGWU inabaki laki 4.9 hadi laki 5.
Ingiza laki 5 kwenye matumizi yako na mke.
Kodi 100000
Kula kujibana sana 300000
Kula wewe kazini 90000
Hadi hapo imekata tayari lakini bado:
Nauli ya kazini
Bili umeme, maji, king'amuzi, vocha
Gesi au mkaa
Hujanunua nguo, mke hajasuka
Lazima ujenge urafiki na mangi