Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kaka Mshahara wa Kwanza tu, Naoa Maana wakati najaza form HR .anasema umeoa nasema hapana , Una mtoto nasema hapana ...thn nina miaka now 33 akauliza... So ukizaa now Tuseme na miaka 34 unajua mtoto wako wa kwanza akifikisha umri kama wako wewe utakuwa ushastaafu 🤣🤣, nikwambia Mkuu we acha tu , jobless thn niwe nimeoa si ningekuwa nachapiwa tu ..maana kula yangu yenyewe ilikuwa papatu papatu
Kama ni halmashauri usioe mapema mkuu subiri walau baada ya miaka 4 take it from me utanishukuru baadae
 
Wanalipa kwenye Halmashauri zote mkuu inategemea tu wewe ni mtu wa Kada gani

Ni kweli entry level bachelor's wengi halmashauri wanaanzia TGS D na TGS E, ila wengine tumeanza na TGS E kwenye 1.3M

Naongelea Veterinary medicine
hiyo 1.3m ni baada ya makato ama?
 
mmhh kumbe halmashauri ukiwa na kihelehele cha kuoa unaweza geuka koboko
Laki 7.6 ikichinjwa PAYE, HESLB, NHIF, TALGWU inabaki laki 4.9 hadi laki 5.
Ingiza laki 5 kwenye matumizi yako na mke.
Kodi 100000
Kula kujibana sana 300000
Kula wewe kazini 90000
Hadi hapo imekata tayari lakini bado:
Nauli ya kazini
Bili umeme, maji, king'amuzi, vocha
Gesi au mkaa
Hujanunua nguo, mke hajasuka
Lazima ujenge urafiki na mangi
 
Hivi vyama vya wafanyakazi sioni faida yake kwa wanachama, vinakula tu pesa aisee.
 
Laki 7.6 ikichinjwa PAYE, HESLB, NHIF, TALGWU inabaki laki 4.9 hadi laki 5.
Ingiza laki 5 kwenye matumizi yako na mke.
Kodi 100000
Kula kujibana sana 300000
Kula wewe kazini 90000
Hadi hapo imekata tayari lakini bado:
Nauli ya kazini
Bili umeme, maji, king'amuzi, vocha
Gesi au mkaa
Hujanunua nguo, mke hajasuka
Lazima ujenge urafiki na mangi
Inaogopesha lakini hakuna jinsi,kuoa ni muhimu japo tumechelewa sana,wengi wetu wa 2016 tuko kwenye 30s.... tusipooa,tukisubiri tutazeeka Sasa.Tukiingia kazini nikuoa tu kwanza.
 
Laki 7.6 ikichinjwa PAYE, HESLB, NHIF, TALGWU inabaki laki 4.9 hadi laki 5.
Ingiza laki 5 kwenye matumizi yako na mke.
Kodi 100000
Kula kujibana sana 300000
Kula wewe kazini 90000
Hadi hapo imekata tayari lakini bado:
Nauli ya kazini
Bili umeme, maji, king'amuzi, vocha
Gesi au mkaa
Hujanunua nguo, mke hajasuka
Lazima ujenge urafiki na mangi
yaani kwa hayo makato unabaki na hela ya bando. 🤣 🤣
 
Back
Top Bottom