Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

jobless mstaafu mbona umekua kama umepakwa pilipili matakoni uko ofisini si watapata tabu sana.. 🤣 🤣
 
Aisee we jamaa sijui niite ni ulimbukeni wa ajira au ni nini..!!!! Ila nikushauri haya matambo na kujikuta wewe umeotea au wewe ndio mteule usije ukaleta hizi kwenye maisha halisi sababu utajitengenezea maadui wengi sana watakaokuja kama marafiki wengine watakuchukia chini chini na kusubiri anguko lako wapate kufurahi…
Acha hizi tabia za kujiona juu umepanda dau na kujifanya wewe ndio umehustle sana kuliko ambao hawana na kuleta viushauri vyako vyenye dharau ndani yake..

USIWAPE WATU SABABU YA KUPENDA KUONA ANGUKO LAKO.. NI AFADHALI MTU AKUCHUKIE OUT OF NOWHERE KULIKO KUMPA NA SABABU YA KUONGELEA HADHARANI ANGUKO LAKO
 

Nakusihi tuu kama mtu mzima maana kwa akili zako wewe unaonekana ni limbukeni sana furaha yako iangalie huko uendapo ukileta hizi swagger wanakula kichwa.

Na ninapokuambia wapo watu wanalipwa pesa nyingi kuliko yako na wamekaa kimya utulie mimi hako kasalary kako nakulipa miezi 3 kwa mishe yangu moja nje ya ajira. Acha ushamba.

Acha tukutolee uvivu. Unaonekana ulikuwa una njaa sana, mshukuru Mungu then kuwa na machache, zaidi ya hapo watu wanakushangaa humu kwa ushamba wako.
 
Dogo ana ulimbukeni wa kindezi sana
Ni utoto lakini
Atakua tu
Huyu ndio definition ya imaturity
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hapo kwenye simu kuzingua kuna kipindi mambo yaliniendea mrama, kipindi hicho nilikuwa na simu niliyoinunua mwaka 2016.

Simu ilianza kuzingua bana, ikaanza touch kutorespond baadhi ya button kwa upande mmoja ikawa inanilazimu kurotate screen ndipo nitype hizo button.

Ikafuatia charger/USB kuharibika, nilikuwa natumia zile zenye label ya NOKIA, nikatafuta ya bei chee nikatumia kwa muda mfupi ikaanza kuzingua.

Kuna siku nyingine ambapo niliudhika zaidi, nilikuwa toilet sijui simu iliniponyokaje ikaangukia kwenye sink(haya masink ya kuchuchumaa sio yale ya kukalia), nilifanikiwa kuitoa fast nikaenda kuikausha bahati nzuri haikuharibika, hapo nilikuwa nimeudhika sana maana sina hela ya kununua simu nyingine nzuri.

Kwa kweli kipindi hicho sitakisahau maana ilikuwa ni tanuri la moto ila kama ilivyo kawaida "nyakati ngumu hazidumu" nilikipita hicho kipindi na nikaweza kupata simu nyingine.
 
Mkuu huu muda unaotumia kutufokea humu si ungepiga goti kushukuru Mungu!! kwani kila mtu lazima ajue umeajiriwa na unalipwa shingap?? Mbona kuna watu watu wanalipwa pesa ndefu zaidi ya hiyo na wamefunga mdomo!
 
Huu Uzi ni maalumu kwa wanaopata ajira kupitia usaili na siyo waajiriwa wa TAMISEMI hao walimu hawahusiki hapa.
Ningejuaga ningesoma HKL,HGL then nikasoma course hizi hizi hapo udsm then nikaanza kufatilia ulaji kuliko kusoma PCB then div 2 unaenda kua mwalimu wa physcs huko mpanda katavi kudadeki
 
Ningejuaga ningesoma HKL,HGL then nikasoma course hizi hizi hapo udsm then nikaanza kufatilia ulaji kuliko kusoma PCB then div 2 unaenda kua mwalimu wa physcs huko mpanda katavi kudadeki
Mkuu mimi kitu kinachoitwa advance level nilikikataa toka niko o level.. Yani kwa jinsi wale jamaa wa PCM NA PCB walivyokua wakikunjuka misuli ila bado wachache sana ambao walienda kusoma Engineering na Udaktari.. waliobaki walikua wamejitahid wameenda kwenye ualimu kitu ambacho nilikua nachukia sana mi ualimu..
Mwisho nikadecide acha niende chuo cha ufundi kupiga diploma nikaunga degree nikamaliza.. Nashukuru Mungu kwa hapa nilipo ila kama ningeenda advance PCM sijui leo ningeishia wapi mimi.. Maana Chaki nilikua naiona hii hapa😅
 
Ww msikilize huyo msajili wa hazina wadau wapo wana shine... Ushawahi ona ajira za RITA ? NIDA ? EWURA za entry level? TANESCO Mwaka wa ngapi hawajaajiri Unafikiri hakuna watumishi kule 🤣🤣 Stukaaa boy wangu
Tanesco huwa wanatamgaza, na pia Wana some sort of kuajiri wenyewe
RITA pia wametamgaza mwaka huu
EWURA pia huwa wanatangaza taasisi kama EWURA inaajiri watu wachache sana
 
Ujinga Sana mkuu, nimesoma huko vijijini olevel nikapata one nzuri tu, advance mambo yakawa kama hayo, mwisho wa siku ndio kwenye ualimu huu ni upuuzi Sana aisee,
 
Div 2 ulikosa kozi za Afya? au haukuwa interested?.
Nilipata div 2 ya 11 nikapata kairuki ada ikazingua si unaelewa? Nikachaguliwa computer and software engineering kwa kukosa washauri nikapiga chini nikaenda kwenye ualimu, Sasa napiga hesabu hapa nisome course nyingine au nichukue masters tu, changamoto hata ya masters kwenye halmashauri ni upuuzi tu.
 
Ningejuaga ningesoma HKL,HGL then nikasoma course hizi hizi hapo udsm then nikaanza kufatilia ulaji kuliko kusoma PCB then div 2 unaenda kua mwalimu wa physcs huko mpanda katavi kudadeki
Fanya Postgraduate za fani za fedha(Insurance and Risk management, social protection na etc) kuna mtu alikuwa Mwalimu akatumia hiyo strategy na akafanikiwa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…