Watu wanaoa Kwa mshahara wa375000Tgs B 450,000 unaoa. Ok sawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wanaoa Kwa mshahara wa375000Tgs B 450,000 unaoa. Ok sawa
jobless mstaafu mbona umekua kama umepakwa pilipili matakoni uko ofisini si watapata tabu sana.. 🤣 🤣Ikifika 2025 , amka zako asubuhi nenda sanduku la kura kampigie Tick inshaallah Rais: samia suluhu.
Sasa wewe jifanye unakaza kichwa, na ubishi wako...ila huo ndio usalama wako wa kuendelea kuziona hizo nafasi za ajira unless... Ushawaona waroho wa madaraka wanavyosema Taasisi ziajiri wenyewe.
Mnaniita mimi ,kibaraka ,sijui wakala... Lakini kama mimi nimepata kazi kipendeleo...
Je rafiki yako??? 🤣Maana now kila mtu kama yeye hajapata basi kuna mwanae kapata je huyo rafiki yako na yeye kapata kiupendeleo????
Akili kichwani kwako##.
Aisee we jamaa sijui niite ni ulimbukeni wa ajira au ni nini..!!!! Ila nikushauri haya matambo na kujikuta wewe umeotea au wewe ndio mteule usije ukaleta hizi kwenye maisha halisi sababu utajitengenezea maadui wengi sana watakaokuja kama marafiki wengine watakuchukia chini chini na kusubiri anguko lako wapate kufurahi…Ikifika 2025 , amka zako asubuhi nenda sanduku la kura kampigie Tick inshaallah Rais: samia suluhu.
Sasa wewe jifanye unakaza kichwa, na ubishi wako...ila huo ndio usalama wako wa kuendelea kuziona hizo nafasi za ajira unless... Ushawaona waroho wa madaraka wanavyosema Taasisi ziajiri wenyewe.
Mnaniita mimi ,kibaraka ,sijui wakala... Lakini kama mimi nimepata kazi kipendeleo...
Je rafiki yako??? 🤣Maana now kila mtu kama yeye hajapata basi kuna mwanae kapata je huyo rafiki yako na yeye kapata kiupendeleo????
Akili kichwani kwako##.
Boss hebu acha wenge na wewe kama serikali yenyewe tuu... Inatoa kima cha mshahara sijui ma tgs sijui nini ...ingekuwa siri kiivyo si wasingekuwa wanatoa ma pdf?? Acha roho ya korosho ... Hiyo tgs si kuna pdf zimetolewa kabisa... Au kisa mimi kusema Million roho inakuuma? Mbona kuna watu wamesema humu halmashauri sijui bei gani mbona hujawaandikia humu??? Au kisa ni ndogo ndio roho haikuumi?? Wangapi humu wanataja sijui mishahara ya tra ngapi sijui bei gani? Tena kuna uzi hadi wa goverment salary scale ..kama sio sheria kwann Moderator wameuacha??? Acha roho ya korosho utakufa vibaya.
Wewe unajua nimeajiriwa taasisi gani? Au ndio wanga wenyewe ... Hapa ni jukwaa huru kila mtu ana haki ya kuongea anachojisikia ili mradi havunji sheria ya nchi? .... Nimetuma documents yoyote humu ya mshahara... Ambayo inavunja sheria??? Vipi wale wanaosema watu wasiende halmashauri kama wana mishe zao wafanye mbona hujaenda ku comments kuwa anaikwamisha serikali watu wasiende vituo vyao vya kazi ???
Kuwa jobless sio ndio uwe una kasirika hata kwa vitu vidogo, relax mkuu...mambo yatakuwa sawa ,hata mimi nilikuwa kama wewe.
Dogo ana ulimbukeni wa kindezi sanaAisee we jamaa sijui niite ni ulimbukeni wa ajira au ni nini..!!!! Ila nikushauri haya matambo na kujikuta wewe umeotea au wewe ndio mteule usije ukaleta hizi kwenye maisha halisi sababu utajitengenezea maadui wengi sana watakaokuja kama marafiki wengine watakuchukia chini chini na kusubiri anguko lako wapate kufurahi…
Acha hizi tabia za kujiona juu umepanda dau na kujifanya wewe ndio umehustle sana kuliko ambao hawana na kuleta viushauri vyako vyenye dharau ndani yake..
USIWAPE WATU SABABU YA KUPENDA KUONA ANGUKO LAKO.. NI AFADHALI MTU AKUCHUKIE OUT OF NOWHERE KULIKO KUMPA NA SABABU YA KUONGELEA HADHARANI ANGUKO LAKO
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa wenye TGS B wasemeje jamani mnapo jadiri haya,Maisha hayajawahi kuwa fair,chochote unachopata ndo sitahiki yako,kuna watu hawana kabisa hata hizo TGS wanazisikia tu.
Ni kibaya ukiwa nacho,ila usipo kuwa nacho macho yatakutoka kama mjusi kabanwa na mlango,
turidhike na tunavyo vipata,
Halimashauri hakupo kuzuri kivile ila hii hali ya ujobless kitaa ni heli uende huko harimashauri ya ndani ndani huko utaweza hata kulima
Kuliko kubaki town huna mbele wala nyuma,mwili una nuka shida ,kila mtu anakukwepa ,hata simu za wana hupati.
PATA KAZI HATA YA MSHAHARA MDOGO
WATU WATAKUHEASHIMU,HATA KUKOPESHEKA UTAKOPESHEKA KWA MANGI.
Siku zote mshahara haujawahi kutosha,unapopata ajira usiache kutafuta vyanzo vingine vya kukuingizia kipato,mana kama mtaji unaweza kujichnaga mwenyewe japo kwa mda mrefu ukaanzisha chochote hata cha kukuingiza mia mbili .
UJOBLESS NI MBAYA MNO ,USIKIE KWA JIRANI TU,UNATWEZA UTU,HESHIMA INAPOTEA,UNALETA UTENGANO KWA NDUGU,UNALETA MAFARAKANO NA JAMII UNAYO ISHI NAYO .
NGUO HUWA ZINAPAUKA,SIMU NAYO INATAFUTA SABABU ZA KUTENGANA NA WEWE MARA INAKUFA SYSTEM CHARGER,AU UNASHANGAA INAIBIWA KABISA KATIKA MAZINGIRA TATANISHI,NA UKIELEZA WATU WANAKWAMBIA UMEIUZA.
HATA WAREMBO UTAWASIKI TU ,HATA UKIKUTANA NAO UWAPE SALAM HAWAITIKII.
kuna watu ni IT wapo eGa. hahah hawa jamaa wanakula asali yenyewe kabisaHata Mimi namshangaa na anajisifu, humu Kuna watu wako EWURA wanamshangaa tu,
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ungepata kazi TANROADS kama Civil Engineer II kama Mimi nahisi ungetafuta bango kabisa
Kumbe watu mlisepa na mizinga ya Asali huko TANROADS na hamsemi[emoji23][emoji23]Salary scale yako ndogo sana kulinganisha na huku Tanroads,
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Tetetete hebu utumishi mbadilishieni kituo huyu kijana mpelekeni halmashauri [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu huu muda unaotumia kutufokea humu si ungepiga goti kushukuru Mungu!! kwani kila mtu lazima ajue umeajiriwa na unalipwa shingap?? Mbona kuna watu watu wanalipwa pesa ndefu zaidi ya hiyo na wamefunga mdomo!Ikifika 2025 , amka zako asubuhi nenda sanduku la kura kampigie Tick inshaallah Rais: samia suluhu.
Sasa wewe jifanye unakaza kichwa, na ubishi wako...ila huo ndio usalama wako wa kuendelea kuziona hizo nafasi za ajira unless... Ushawaona waroho wa madaraka wanavyosema Taasisi ziajiri wenyewe.
Mnaniita mimi ,kibaraka ,sijui wakala... Lakini kama mimi nimepata kazi kipendeleo...
Je rafiki yako??? 🤣Maana now kila mtu kama yeye hajapata basi kuna mwanae kapata je huyo rafiki yako na yeye kapata kiupendeleo????
Akili kichwani kwako##.
Ningejuaga ningesoma HKL,HGL then nikasoma course hizi hizi hapo udsm then nikaanza kufatilia ulaji kuliko kusoma PCB then div 2 unaenda kua mwalimu wa physcs huko mpanda katavi kudadekiHuu Uzi ni maalumu kwa wanaopata ajira kupitia usaili na siyo waajiriwa wa TAMISEMI hao walimu hawahusiki hapa.
Div 2 ulikosa kozi za Afya? au haukuwa interested?.Ningejuaga ningesoma HKL,HGL then nikasoma course hizi hizi hapo udsm then nikaanza kufatilia ulaji kuliko kusoma PCB then div 2 unaenda kua mwalimu wa physcs huko mpanda katavi kudadeki
Mkuu mimi kitu kinachoitwa advance level nilikikataa toka niko o level.. Yani kwa jinsi wale jamaa wa PCM NA PCB walivyokua wakikunjuka misuli ila bado wachache sana ambao walienda kusoma Engineering na Udaktari.. waliobaki walikua wamejitahid wameenda kwenye ualimu kitu ambacho nilikua nachukia sana mi ualimu..Ningejuaga ningesoma HKL,HGL then nikasoma course hizi hizi hapo udsm then nikaanza kufatilia ulaji kuliko kusoma PCB then div 2 unaenda kua mwalimu wa physcs huko mpanda katavi kudadeki
Tanesco huwa wanatamgaza, na pia Wana some sort of kuajiri wenyeweWw msikilize huyo msajili wa hazina wadau wapo wana shine... Ushawahi ona ajira za RITA ? NIDA ? EWURA za entry level? TANESCO Mwaka wa ngapi hawajaajiri Unafikiri hakuna watumishi kule 🤣🤣 Stukaaa boy wangu
Ujinga Sana mkuu, nimesoma huko vijijini olevel nikapata one nzuri tu, advance mambo yakawa kama hayo, mwisho wa siku ndio kwenye ualimu huu ni upuuzi Sana aisee,Mkuu mimi kitu kinachoitwa advance level nilikikataa toka niko o level.. Yani kwa jinsi wale jamaa wa PCM NA PCB walivyokua wakikunjuka misuli ila bado wachache sana ambao walienda kusoma Engineering na Udaktari.. waliobaki walikua wamejitahid wameenda kwenye ualimu kitu ambacho nilikua nachukia sana mi ualimu..
Mwisho nikadecide acha niende chuo cha ufundi kupiga diploma nikaunga degree nikamaliza.. Nashukuru Mungu kwa hapa nilipo ila kama ningeenda advance PCM sijui leo ningeishia wapi mimi.. Maana Chaki nilikua naiona hii hapa😅
Nilipata div 2 ya 11 nikapata kairuki ada ikazingua si unaelewa? Nikachaguliwa computer and software engineering kwa kukosa washauri nikapiga chini nikaenda kwenye ualimu, Sasa napiga hesabu hapa nisome course nyingine au nichukue masters tu, changamoto hata ya masters kwenye halmashauri ni upuuzi tu.Div 2 ulikosa kozi za Afya? au haukuwa interested?.
Fanya Postgraduate za fani za fedha(Insurance and Risk management, social protection na etc) kuna mtu alikuwa Mwalimu akatumia hiyo strategy na akafanikiwa sana.Ningejuaga ningesoma HKL,HGL then nikasoma course hizi hizi hapo udsm then nikaanza kufatilia ulaji kuliko kusoma PCB then div 2 unaenda kua mwalimu wa physcs huko mpanda katavi kudadeki
Hii nzuriFanya Postgraduate za fani za fedha(Insurance and Risk management, social protection na etc) kuna mtu alikuwa Mwalimu akatumia hiyo strategy na akafanikiwa sana.