PSRS ilishawahi badilisha maelezo saa 11 Alfajir kwa shughuli ya saa moja kamili asubuhi, wakati watu walijua issue ingekua siku mbili baadaeHuwajui psrs wewe ipo siku watakushangaza 🤣🤣🤣🤣
🤣🤣 AiseeePSRS ilishawahi badilisha maelezo saa 11 Alfajir kwa shughuli ya saa moja kamili asubuhi, wakati watu walijua issue ingekua siku mbili baadae
Hawa jamaa hawajali wakiamua yao 😂🤣🤣 Aiseee
Vyema sana kakaMkuu ninabeba maji mtaani hapa ndoo jero napata zangu kama aftatu siku za mwanzo nilikua napata Hadi elfu Tano day now vijana tumekua wengi Kila mtu anabebea mtu maji [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kabisa Yani wanachoamua wao ndicho wanachofanya,bila kujua huku watu macho yote yapo kwaoHuwajui psrs wewe ipo siku watakushangaza 🤣🤣🤣🤣
Wakiona mambo mazito watasogeza mudaWanaoenda kufanya prac lazima majibu yatoke leo.
Huwezi kusema uyatoe kesho halafu utarajie mtu wa Mbeya, Mwanza aje hiyo hiyo kesho ili kesho kutwa akapige prac
Yatatoka kesho jioni mzee utumishi huwa hawajali wewe usipoenda ndo imekula kwako Yani😂😂😂😂😂😂😂😂😂nawao wanaamini wewe upo dodoma hiyo mbeya hawaelewiWanaoenda kufanya prac lazima majibu yatoke leo.
Huwezi kusema uyatoe kesho halafu utarajie mtu wa Mbeya, Mwanza aje hiyo hiyo kesho ili kesho kutwa akapige prac
Jamaa watata sana 🤣🤣Yatatoka kesho jioni mzee utumishi huwa hawajali wewe usipoenda ndo imekula kwako Yani😂😂😂😂😂😂😂😂😂nawao wanaamini wewe upo dodoma hiyo mbeya hawaelewi
Huwa hawana habari hao😂😂😂😂😂Jamaa watata sana 🤣🤣
Hawajali kitu wao,ila wanafanya vibaya sanaYatatoka kesho jioni mzee utumishi huwa hawajali wewe usipoenda ndo imekula kwako Yani😂😂😂😂😂😂😂😂😂nawao wanaamini wewe upo dodoma hiyo mbeya hawaelewi
Aliyeshiba hamuoni mwenye njaa mzeeHawajali kitu wao,ila wanafanya vibaya sana
Utmishi wana hila sana juzi watu wa ict tulikua na post kama 5 tofaut na baadh walipanga muda tofauti kufika kule zotr wakazfnyisha muda 1 so hakukua na nafas ya mtu kufnya zaid y post 1Hawajali kitu wao,ila wanafanya vibaya sana
😂😂😂😂Wanafanya makusudi tu yaniWatu tumeingia kupiga pepa unamatuamini ukitoka unaend kupig pepa jingne duh kutoka watu washafnya 🤣🤣🤦♂️
😂😂😂😂Kuna wakati nawaonaga kama hawataki tupate kazi sijuiUtmishi wana hila sana juzi watu wa ict tulikua na post kama 5 tofaut na baadh walipanga muda tofauti kufika kule zotr wakazfnyisha muda 1 so hakukua na nafas ya mtu kufnya zaid y post 1
Yani jamaa wana roho ngumu as if mtu kupata kazi sio stahiki yake😂😂😂😂Kuna wakati nawaonaga kama hawataki tupate kazi sijui
AiseeUtmishi wana hila sana juzi watu wa ict tulikua na post kama 5 tofaut na baadh walipanga muda tofauti kufika kule zotr wakazfnyisha muda 1 so hakukua na nafas ya mtu kufnya zaid y post 1
Safi mi nina kakokoteni nalaza sio chini ya 20kMkuu ninabeba maji mtaani hapa ndoo jero napata zangu kama aftatu siku za mwanzo nilikua napata Hadi elfu Tano day now vijana tumekua wengi Kila mtu anabebea mtu maji [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi mikono mkuu jobless tunatofautiana viwango🤣🤣Safi mi nina kakokoteni nalaza sio chini ya 20k