Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Uko sahihi mkuu.
 
Mkuu Bulensiaga una uhakika na hili ?
au ni hasira za kukandwa interview ya TA?
Mfano sasa hivi vyuo kikuu vyote..Kuna pesa za mradi wa heat(heat project) hizi ni kwa ajili ya academic staff kutafutiwa vyuo vya kuendelea kusoma..na technical staff kupata maarifa so staff wanasafiri sana..hii pesa ya inatumika vizuri ..
 
Mfano sasa hivi vyuo kikuu vyote..Kuna pesa za mradi wa heat(heat project) hizi ni kwa ajili ya academic staff kutafutiwa vyuo vya kuendelea kusoma..na technical staff kupata maarifa so staff wanasafiri sana..hii pesa ya inatumika vizuri ..
Ni HEET sio HEAT
 
Mimi nilisoma UDSM pale nilikuwa nawaona technician wapo very comfortable mmoja wapo ndio huyo mkurugenzi wa TBS
 
1.8 huoni ni ndogo Sana, na sio Kila lecturer atapata hii posho ni wale watakaoenda kufanya hiyo supervision
 
Hizo posho zipo Kila siku?
Posho zinazosemewa hapa ni posho ya nyumba,usafiri, extra duty,
House allowance(kuanzia senior lecture anapewa)
Extra duty zipo mkuu za kutosha(nna ushahidi)
Kuna kipindi zilikuwa zinatoka hadi posho za meals ...sema Kati Kati zilisimama
Kama hao technical staff..wakijaza job card ....kwa kazi waliofanya pesa inaaandaliwa zinaombewa na wanapata vizuri tu.
 
Ahsante mkuu wewe unaongea vitu unavielewa huyu Bulensiaga anaongea hear say lakini mbishi sana
 
  • housing allowance ipo?
  • communication allowance ipo?
  • transport allowance ipo?
Lecturers wengi wanakimbilia mashirika ya Umma jiulize kwa nini

  • housing allowance ipo?
  • communication allowance ipo?
  • transport allowance ipo?
Lecturers wengi wanakimbilia mashirika ya Umma jiulize kwa nini
Wana sababu zao ..ila ma lecturer wanaishi vizuri sana..ila ukumbuke mkuu vyuo pia ni mashirika ya uma..mm wengi waliondoka naona wamepata teuzi kuanzia kipindi cha hayati..hadi Mama ...lecture wanapewa value kubwa sana..ndo maana wao wanastaff kwa miaka 65 sio 60 tena kaka..unaijua hiyo.
 
Sasa hao senior lecturers si ndio wakuu wa department ambao nimeshawasemea hapo awali? Unadhani Ww ukiajiriwa utapata hiyo posho?
Hizo extra duty ni Hadi zitokee hizo habari za kusema zipo za kutosha ni kwa kada gani? Ni kwa wote?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…