Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

But Niwakikishie Pale Connection Hakuna, cz wameamua kujipambanua kufata haki.... Na hawawezi peleka mtu hajui kwenye offc sababu ungeshasikia taasisi zinalalamika wanapelekwa watu weupe kichwani.
 
Bodi ya Mamlaka ya Pamba Musoma sio
 
Sawa Mkuu
 
Watu wanaitafta ICT SECURITY OFFICER II kwa PDF ya tareh 20 hawaon ndo maan wana wasiwasi na wewe[emoji3][emoji3]
Boss kwa akili zako za kawaida unaweza ku expouse taarifa za ugali wako ? Kwa wanga....Humu ni kama wachawi tu.... Ni sawa na rafiki yako mliyeachana primary akuulize unafanya kazi wapi ili ajue kiwango cha kukuheshimu....

Elewa nimepata kazi taasisi nzuri mtu yoyote ambaye anbgepata asingetaka kuhama , Town ,taasisi nzuri, hakuna vumbi, salary ndio kama hivyo, unaweza jiendeleza carrier yako As you know kama upo maeneo ya mijini unaweza kusoma bila kuomba ruhusa....Yani umeingia kazini tu na unajiendeleza au kupiga course zako na mtu hajui wanastukuzia umemaliza
 
Amina Mkuu nashkuru, shida mm kada yangu hawajatoa hata mmoja ili watu tuapate matumaini
Nakulewa Mkuu, nakuelewa sana... nimepita hiyo hali hadi ubongo unakuwa affected na mawazo yani muda wote unataka ku refresh page ya utumishi uone hata tu kada yako imetoa ili ujipe tumaini majina yasogee.... Pia kama mtu hajapita hiyo hali kukwambia kuwa na subira unaweza mjibu hivi unajua how do i feel ,yani hiyo hali haielezeki kwa namna ya kawaida....ila ushauri wangu kwako Mkuu vumilia one day yes .... Ni ngumu naelewa kila siku kuwa na tumaini labda kesho.... Kikubwa tafuta kitu kiku keep busy mchana wote atleast ukiwa umerudi unakuwa umechoka huku ukiendelea kusubiria....NB: hakuna hali ngumu itakayodumu milele brothers...
 
Tulishawaambiaga humu wakakaza fuvu.

Sasa muanze piga makelele
 
Kumbe ndo wewe unangata na kupuliza
Boss hata wewe ,ukijihisi umekata tamaa njoo inbox nitakupa mbinu za kusimama tena na kuwa strong💪....Kwanza hesabu baraka alizokupa Mungu, Kuna nyengine ulikaa kwa kusubiria ukafika muda zikakufikia.... Hata kazi, wewe piga interview ...suala la Placement sio lako wala la utumishi, ni la Mungu atakupa tuuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…