Mkuu Nipo ,nilikuwa nafanya mizunguko ya kutafuta viwalo kidogo huku Dar es salaam ... Si unajua masuala ya Utumishi nini... Vikaunda suite vya hapa na pale...
Ila uzi unasikitisha sana, yani nahisi hata huyo IT akiona hayo Ma PDF anaendelea kukalia yani... Mtu hana ajira ana discuss salary 🤣🤣 ila okay anyway...
Ila kiukweli lazima ujue sehemu unapoenda , wanakulipaje cz hicho kitu kina affect the whole life yako, unless upate chance ya kuhama....
Na jobless wengi ,akili kama zimewehuka.... Yani hapo ulipo ndio upo nafasi ngumu zaidi ya kuingia kwenye system yani ukiingia kwenye system kuhama ni rahisi kuliko wewe kupata kazi...Maana kuna rundo la wasahiliwa....
Alafu jua kupata kazi ni bahati na wakati ,unaweza ukawa unajua sanaa na still ukasubiri mpka bahati yako ifike na wakati wako....
Hivyo hivyo ,kupata kazi Taasisi still ni bahati cz wale wanachagua tu, Vuta wanavuta...
Hence;- ila hata kama hutaki sehemu ukipangwa usiende fata barua, zikija interview nyengine kafanye ukipangwa tena halmashauri usiende...wewe subiria tu mpka siku upangwe taasisi kama mimi huku.