BALENSIAGA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2019
- 3,353
- 5,800
Hizo interview sio kipimo sahihi,incompetent mtu anafanya written, practical na oral na anafaulu zote
Sahihi mkuuu ubishi sio mzurhuyo ni mbishi me najua mifumo mingi wametengeneza wazawa. kuna jamaa angu ni database administrator yupo ppra wanatengeneza mfumo wa manunuzi ni wazawa tupu. tra sio wajinga wasingeajiri ma developers 100 kama wanawapa tenda wakorea.
Kwahyo mkuu ata elimu yako uliyopata una maanisha hauko competent ...Hizo interview sio kipimo sahihi,
Tatizo liko kwenye mfumo wa elimu ya juu
vip imechangestatus zitaua jobseekers
Ahahahaha, hivi naomba kuuliza. Does it mean kwamba ikisoma selected for oral interview both kwenye web na App ndio uwe na matumaini kazi unapata au inakuaje. Maana. Heeee...status zitaua jobseekers
Mimi ni CPA (T) usilinganishe na watu wa tehamaKwahyo mkuu ata elimu yako uliyopata una maanisha hauko competent ...
Usiwe mbishi mifumo mingi tu imetengenezwa na eGA. Ukiona kuna mfumo umetoka nje basi jua kuna conflict of interest hapo mwanasiasa anataka kupigΓ 10% kwenye ununuzi.Mimi ni CPA (T) usilinganishe na watu wa tehama
watu wengi wanazo hizo CPA hazina maajabu wala usingekuwa halmashauri kama CPA ingekuwa ni dili.Mimi ni CPA (T) usilinganishe na watu wa tehama
yaani kizazi hiki unaringia CPA π π πMimi ni CPA (T) usilinganishe na watu wa tehama
Chances are high omba usiwe na NOT Selected for ORAL kwenye AppAhahahaha, hivi naomba kuuliza. Does it mean kwamba ikisoma selected for oral interview both kwenye web na App ndio uwe na matumaini kazi unapata au inakuaje. Maana. Heeee...
Mkuu Kwan hamna CPA ambaye hayuko competent?Mimi ni CPA (T) usilinganishe na watu wa tehama
Kabsa..Jobless ni mwiko kukata tamaaBaada ya kumfurusha nduli Iddi Amin Dada humu kumetokea battle nyingine humu, tuendelee kuupa uzi uhai safi sana.
Narudia msife moyo wapambanaji ni mwendo wa kuongeza Received na Selected for ORAL.
Tanzania hii sector ya tehama haiko regulated na hakuna bodi yoyote ambayo ni statutory, Huwezi kulinganisha na Accountancy ambayo Kuna bodi ya NBAAMkuu Kwan hamna CPA ambaye hayuko competent?
Tuachane kusema professional za watu kwamba hawako competent.
We unayo?yaani kizazi hiki unaringia CPA π π π