Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Tanzania ingekuwa kuna waandishi was habari wenye weledi hii issue ya ajira TRA wasingeicha iishe hivi kwa email. Madogo wanaingia Top ten written na practical halafu placemeñt wanakosa kisa matokeo ya oral ni siri?
Hapa lazima majina yote yaliyoitwa kazini yawekwe wazi ili watu walinganishe
 
Wee jamaa una yako humu sio bure..,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…