Charles misana
Member
- Apr 11, 2018
- 30
- 22
utendaji wa kata sio rahisi.
me naona kama nafasi za makatibu tarafa.
me naona kama nafasi za makatibu tarafa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini siyo rahisi?utendaji wa kata sio rahisi.
me naona kama nafasi za makatibu tarafa.
watendaji wengi ni diploma. afu mara nyingi post za watendaji naona kama halimashauri uwa wanapewa kibali na utumishi waajiri wenyeweKwanini siyo rahisi?
Wee jamaa una yako humu sio bure..,Tanzania ingekuwa kuna waandishi was habari wenye weledi hii issue ya ajira TRA wasingeicha iishe hivi kwa email. Madogo wanaingia Top ten written na practical halafu placemeñt wanakosa kisa matokeo ya oral ni siri?
Hapa lazima majina yote yaliyoitwa kazini yawekwe wazi ili watu walinganishe
Waaachie pdf nzito kuzidi la nyuma....Watu wakafungue mwaka kwa Matumaini na Neema ikawe kwa Mama(Rais) zidi ya vijana wake...Ramli pdf ya Leo ijumaa 100%
Hakika mkuu, la Leo liwe la historia lifunge huu mwaka vizuriWaaachie pdf nzito kuzidi la nyuma....Watu wakafungue mwaka kwa Matumaini na Neema ikawe kwa Mama(Rais) zidi ya vijana wake...
Maana kitaa sio Poa
itakua mtandao wako tu.App ya ajira portal naona haifunguki wakuu... Au kwangu pekee
placement ni mchongo tunausikiliziaIT hana baya soon anaachia PDF la placement maana flash kaondoka nayo kwenda home.
yaani sehemu ya advertisment na interview huwa zinajaa fasta kwenye placement sasa mpaka watu washushe matusiplacement ni mchongo tunausikilizia
Katibu ashasaini, IT achia PDF jobless tujichange tukuachie ya sodaIT hana baya soon anaachia PDF la placement maana flash kaondoka nayo kwenda home.
Kama mm tu Mkuu kwangu iko hivo na sijaona Pdf lenye kada yanguIla utumishi kwenye Web na App ni both selected for oral, ila sasa sijawah kuona mkeka wenye kada yangu dah.
Shusheni pdf tuingie mwaka mpya vizuri.
Kama mm tu Mkuu kwangu iko hivo na sijaona Pdf lenye kada yangu
hii inaboa sana kaka yaani najua unavyofeelIla utumishi kwenye Web na App ni both selected for oral, ila sasa sijawah kuona mkeka wenye kada yangu dah.
Shusheni pdf tuingie mwaka mpya vizuri.