Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Naamini Mwenyezi Mungu ni mwema Ipo siku tutatoa ushuhuda kama huu
 
Ubarikiwe mkuu.ngoja nasi tupambane kutafuta asali mkuu.be [emoji119]
 
Pamoja sana kaka
 
Habari wanajukwaa.

Nami kipekee namshukuru Mungu kwa 2023, maana safari yangu ya kusaka ndoto yangu "dream job" imetimia.

Na leo ikiwa ni Jumapili ya mwisho kwa mwaka huu, nimeshiriki ibada na kuwaombea wote mnaohitaji kufanikiwa katika safari hii mfanikiwe iwe ndani ya saa chache zilizobakia za mwaka huu au katika mwaka ujao.

Niwaombeeni kheri ya mwaka mpya wenye mafanikio na Baraka za Mwenyezi Mungu.
 
πŸ™πŸ™πŸ™ Amina mkuu!
 
Amen sanaaa
 
Amina mkuu.
Very powerful message..Ubarikiwe sana
 
Habari ndugu zangu
Ningependa kumshukuru Mungu kwa mwaka 2023. mambo hayakuwa mazuri nilibahatika kufanya interview 2 moja niliishia written na moja ya mwezi wa 11 nilifika oral. Mungu ni mwema mwaka unaisha nimeongeza received. Mungu akipenda mwakani ni kuendelea tulipoishia na tusichoke kupambana kwa maana wakati wa mungu ni wakati sahihi. πŸ™πŸ™
 
Habari za mchana ndugu zangu, kwa kifupi namshukuru mwenyezi Mungu kwa kunifikisha mpaka saa hii nikiwa mzima wa afya. Kwa mwaka 2023 nimefanikiwa kufanya interview mbili lakini sijabahatika kupata kazi, mwaka unaoanza kwa Neema ya Mungu naamini wengi wetu tutafikiwa na sisi....[emoji120][emoji120][emoji120] Happy New Year In Advance fellow...2024
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…