Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Through back! Hii ndio ilikuwa comment yangu bora kabisa kwa mwaka huu hapa JF na pia ndio comment maridadi kabisa tangu nijiunge na JF miaka 7 iliyopita.

Ukiniambia kwa mwaka huu umepiga hatua gani katika ndoto zako, basi sina budi kukuonesha hii comment!

Tunapoelekea kuumaliza huu mwaka hatuna budi kumshukuru anayetupatia Pumzi ya bure na kutujalia riziki ya kila siku kwa njia mbalimbali. Endapo hii pumzi ingekuwa tunailipia Bill kama ilivyo bill za umeme, maji, vifurushi vya internet, wachache sana wangemudu hii huduma, ni raha iliyoje kupewa pumzivya bure then ukaanza kuhangaikia mengine.

Uzi huu sprit yake ni KUTOKATA TAMAA, USIACHE KUJARIBU KILA UNAPOPATA NAFASI. tuishi humu.

Wale wote ambao bado wanasubiri placement, kuitwa kwenye interview msiache hii sprit ishini nayo.

Nafasi yoyote ikitokea halafu ukawa na vigezo usiache kuongeza received hata kama unasubiri placement, hivyo hivyo ukiitwa kwenye Interview nenda kafanye hata kama unasubiri placement. Siku ukiona jina lako kwenye placement basi utakuwa na uhalali wa kuacha kufanya usaili(Si huwa unawaona wazee wa mjengoni wakishashinda uchaguzi na kampeni wanaacha moja kwa moja, wengine wanaenda mbali kabisa kwa kutoonekana Jimboni hadi msimu mwingine tena[emoji2][emoji2]...!).

Kwa wale ambao wamefanikiwa kuchomoka tusiache kuwapa miongozi wanaoendelea kupambana(yaani mfundishe kuvua samaki, badala ya kumpa samaki), pia tupunguze kejeli kwa kuwaona si lolote wengine ambao hawajaweza kuchomoka kisa muda wao bado haujafika.

Ahmet meck pro mazaga one na wengineo mumepotea sana humu bila shaka mpo salama huko mlipo na mnaendelea kusukuma gurudumu vizuri
Naamini Mwenyezi Mungu ni mwema Ipo siku tutatoa ushuhuda kama huu
 
Ubarikiwe mkuu.ngoja nasi tupambane kutafuta asali mkuu.be [emoji119]
 
Pamoja sana kaka
 
Habari wanajukwaa.

Nami kipekee namshukuru Mungu kwa 2023, maana safari yangu ya kusaka ndoto yangu "dream job" imetimia.

Na leo ikiwa ni Jumapili ya mwisho kwa mwaka huu, nimeshiriki ibada na kuwaombea wote mnaohitaji kufanikiwa katika safari hii mfanikiwe iwe ndani ya saa chache zilizobakia za mwaka huu au katika mwaka ujao.

Niwaombeeni kheri ya mwaka mpya wenye mafanikio na Baraka za Mwenyezi Mungu.
 
🙏🙏🙏 Amina mkuu!
 
Amen sanaaa
 
Amina mkuu.
Very powerful message..Ubarikiwe sana
 
Habari ndugu zangu
Ningependa kumshukuru Mungu kwa mwaka 2023. mambo hayakuwa mazuri nilibahatika kufanya interview 2 moja niliishia written na moja ya mwezi wa 11 nilifika oral. Mungu ni mwema mwaka unaisha nimeongeza received. Mungu akipenda mwakani ni kuendelea tulipoishia na tusichoke kupambana kwa maana wakati wa mungu ni wakati sahihi. 🙏🙏
 
Habari za mchana ndugu zangu, kwa kifupi namshukuru mwenyezi Mungu kwa kunifikisha mpaka saa hii nikiwa mzima wa afya. Kwa mwaka 2023 nimefanikiwa kufanya interview mbili lakini sijabahatika kupata kazi, mwaka unaoanza kwa Neema ya Mungu naamini wengi wetu tutafikiwa na sisi....[emoji120][emoji120][emoji120] Happy New Year In Advance fellow...2024
 
Back
Top Bottom