Genuine raf
JF-Expert Member
- Jun 17, 2022
- 673
- 1,804
Kuwa kigoma swala Moja swala la pili nauli,hawajui tu kwa shida zetu Hela haziwekekiKweli aisee maana kama mpk ss hawatoa majibu na interview juma mosi kama mtu yko kigoma huko au musoma inakuaje hapo
Mwenye shibe hamjui mwenye njaaUtumishi wanaamini wwe ratiba unaijua kwahiyo utafata kama ilivyo wahajui kuhusu unatoka mbali au vipi kwahiyo usishangae majibu kutoka usiku afu asubuhi oral
Unasafirije na hujui kama umefeli au umefaulu duhUtumishi wanaamini wwe ratiba unaijua kwahiyo utafata kama ilivyo wahajui kuhusu unatoka mbali au vipi kwahiyo usishangae majibu kutoka usiku afu asubuhi oral
Tabu tupuUnasafirije na hujui kama umefeli au umefaulu duh
😂😂😂😂😂Wanakwambia mwenye nacho huongezewa na umaskini sio excuseMwenye shibe hamjui mwenye njaa
Utumishi wanaamini mpka umeenda kufanya interview unajiamini na una uwezo so kama wwe mwenyewe umefanya Pepa na bado huamini ulichokifanya inamaanisha huwafai😂😂😂Unasafirije na hujui kama umefeli au umefaulu duh
😂😂😂😂Tabu ndo mwanzo wa maarifa mzeeTabu tupu
Duh kazi ipo basi mpk tupate kz tutakua tupo hoi sanaUtumishi wanaamini mpka umeenda kufanya interview unajiamini na una uwezo so kama wwe mwenyewe umefanya Pepa na bado huamini ulichokifanya inamaanisha huwafai😂😂😂
Noma sana Kuna na Ile ya ambao majina yao hayapo kwenye tangazo hii watambue Kuwa hawakufaulu usaili na wasisite kuomba Tena pindi nafasi zitakapo tangazwaWafuatao watambue walifanya usaili na kufaulu hivyo wanatakiwa kuchukua barua zao za kupangiwa vituo vya kazi mara baada ya nafasi kupatikana✍️
NB waombaji wanaokuja kuchukuwa barua wanatakiwa wawe wamevaa barakoa 😂😂 Mtu anajicheck huku roho inadunda vibaya mno,,,,Noma sana Kuna na Ile ya ambao majina yao hayapo kwenye tangazo hii watambue Kuwa hawakufaulu usaili na wasisite kuomba Tena pindi nafasi zitakapo tangazwa
😂😂😂😂😂Hizi sentence nikisomaga moyo huwa unadundia mgongoni yaniNB waombaji wanaokuja kuchukuwa barua wanatakiwa wawe wamevaa barakoa 😂😂 Mtu anajicheck huku roho inadunda vibaya mno,,,,
Hili tangazo la barakoa nahisi ni tangu 2020. Mpaka hapo wanaedit tu hapo kaz kwishaNB waombaji wanaokuja kuchukuwa barua wanatakiwa wawe wamevaa barakoa [emoji23][emoji23] Mtu anajicheck huku roho inadunda vibaya mno,,,,
Hapo sawa mkuu, zege liendeleeHapana kama udom pale venue zipo nyingi sana watu watafanya tu bila wasi wasi Kuna ile chimwaga hall hainaga kazi kwahiyo watapelekwa hata huko
Hahahahaaa.Wafuatao watambue walifanya usaili na kufaulu hivyo wanatakiwa kuchukua barua zao za kupangiwa vituo vya kazi mara baada ya nafasi kupatikana[emoji3578]
Mkuu itakuwa mda wote unawaza placements tu.. hv unawadai placements ngapi🤓🤓Bado bilabilaView attachment 2405933
WATOE placement tu kwa kweli 🤣🤣🤣 watu wanatembelea sana website ya ajiraMkuu itakuwa mda wote unawaza placements tu.. hv unawadai placements ngapi🤓🤓
Nao utumishi wangeomba budget serikalini wajenge kumbi angalau mbili ili michakato iwe inaenda kwa wakatiNajiuliza wanafunzi wanafungua vyuo tutafanyia wap
Mi sidhani kama venue ni tatizo wao t wana michakato mingiNao utumishi wangeomba budget serikalini wajenge kumbi angalau mbili ili michakato iwe inaenda kwa wakati