Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hvi ukiwa na cheti kilichoscaniwa then ukakiprint kikawa coloured wanakikataa pia ukiena interview utumishi? Nisaidia please
Hawakubali Mkuu kuna mmoja walishindwa kutambua Wakati wa written Ila tulichoenda kwenye oral wakamwambia haiwezekani akalete original na sijui kama walimruhusu baadaye.
 
Kufurushwa kwenda wap mkuu[emoji3][emoji3]
Kuanzia kesho Kuna PDF za placement za kutosha.
Watu mjiandae kwenda masijala ya wazi ndani ya siku saba.
Sawa Mkuu koment yako ndiyo ya mwisho kuisoma kwa siku ya leo.
InshaAllah nitarudi kesho jioni kuangalia Kama placements zitakuwa zimeanza kumiminika.
 
Naomba msaada inakuaje mtu ambaye amesoma diploma in secondary education akitaka kuomba nafasi za kazi ambazo zinahitaji diploma in education mfumo unamgomea ila ikabdilisha na kidogo jina la kozi na kujaza diploma in education with arts mfumo huo huo unakubali je akifanya hivyo ataitwa kwenye interview?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…