toeni majina mamamae
😀😀 Tulia ww leo weekend, subilia mpaka j3toeni majina mamamae
kwan weekend hawatoagi😀😀 Tulia ww leo weekend, subilia mpaka j3
Sihani kama wanatoa japo sina uzoefu kwenye hilokwan weekend hawatoagi
Nyamaza basi kama hujui.Sihani kama wanatoa japo sina uzoefu kwenye hilo
wanatoaga hao hawana weekendkwan weekend hawatoagi
Atulie...mikeka huwa inashuka mda wowote cku yyte.Nyamaza basi kama hujui.
Sio kweli kama hautajali naweza kukutumia namba ya advocate na anaweza kukusaidia alinisaidia pia.Nilijaribu hii, sema kuna wakili alinambia hii deep poll hua anaitengeneza mhusika,
Yaani kwa hii case yako inakuwa ngumu kwani wewe majina yako yako sawa ila majina ya wazazi , So! Huwez kuwatia hvyo deed poll labda mpk mhusika wa hilo jina yaan mzazi wako mwenyewe
Afisa TEHAMA mmeupga mwingikuna PDF uko
Mwanangu El marabiosh njoo utupe ushuhuda hapa,
Hongereni wote mlio lamba asali, mkawe watumishi wema.
Wengine bado bilabila hatujui hatimaye yetu, siku zinasonga....ila Mungu ni mwema.
Leteni shuhuda wakuu.Haya mtuletee shuhuda mbalimbali tuwapongeze.
View attachment 2863546
Wa Oktoba tusharukwa tayari, naona novemba wanaendelea kuitwa😂😂😂Wengne bado bilabla
Kizibo hiko poti anaandika dibaji ndefu mno as if ni wa maana sana kumbe horrible.Elewa wewe sijasema wasipate
🤣 🤣 bilabila.yaan hapa nipo ICUMwanangu El marabiosh njoo utupe ushuhuda hapa,
Hongereni wote mlio lamba asali, mkawe watumishi wema.
Wengine bado bilabila hatujui hatimaye yetu, siku zinasonga....ila Mungu ni mwema.
Ni changamoto aiseeKizibo hiko poti anaandika dibaji ndefu mno as if ni wa maana sana kumbe horrible.