Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Nilijaribu hii, sema kuna wakili alinambia hii deep poll hua anaitengeneza mhusika,

Yaani kwa hii case yako inakuwa ngumu kwani wewe majina yako yako sawa ila majina ya wazazi , So! Huwez kuwatia hvyo deed poll labda mpk mhusika wa hilo jina yaan mzazi wako mwenyewe
Sio kweli kama hautajali naweza kukutumia namba ya advocate na anaweza kukusaidia alinisaidia pia.
 
Back
Top Bottom