Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kuna Afisa kilimo kahamia hapo BOT kwenye kitengo cha note reserve.

Kupata inawezekana ila tu ujue Watu wanapatapataje.

#YNWA
 
Hizo barua mkurugenzi hana muda nazo wewe ila kuna wanafiki wachache ndio wanaojifanya wao ndio wakurugenzi. Mimi nilimpa secretary buku 2 barua ilisainiwa kwaniaba na mkurugenzi hakuwepo ofisini
Shida wanakera sana ukitaka kuondoka. Imagine upo idara ya ujenzi.
Qs-1
Civil-1
Electrical -1
Technician-2

Kuchomoka ni mtiti
 
Utapata Mkuu naamini ukidhamiria tuu unapata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…