Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

BOT itoe hapo huwezi kuingia pale kwa usaili. Mimi kuna jamaa namfahamu Division 1.8 O-level Kibaha. Division 1.3 EGM Pugu boys. UDSM B.Com Account GPA 4.2. CPA T.
Alipomaliza CPA kaanza kazi Auditing Firm. Alifanya interview hapo BOT 2015/2016 hadi wakabaki wawili oral. Baada ya hapo kimya hadi kesho. Tena anakwambia aliwakanda majaji wanatikisa kichwa tu.
Kuna Afisa kilimo kahamia hapo BOT kwenye kitengo cha note reserve.

Kupata inawezekana ila tu ujue Watu wanapatapataje.

#YNWA
 
Hizo barua mkurugenzi hana muda nazo wewe ila kuna wanafiki wachache ndio wanaojifanya wao ndio wakurugenzi. Mimi nilimpa secretary buku 2 barua ilisainiwa kwaniaba na mkurugenzi hakuwepo ofisini
Shida wanakera sana ukitaka kuondoka. Imagine upo idara ya ujenzi.
Qs-1
Civil-1
Electrical -1
Technician-2

Kuchomoka ni mtiti
 
Napambana sanaaa
Cheki hii [emoji116][emoji116][emoji116] siku seriuos
View attachment 2863857

Ila ni za muda mrefu [emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 2863863

Ila kwasasa Niko serious, japo na apply zile za U-director na managers..!!!

Ya mwisho nilituma 27/01/2022 ya u-seriuos NIMETUMA 18/10/2023
Kwahiyo nilikaa mwaka na kitu bila kutuma chochoteee.

Nishafanya certifications Zotee na attachment zotee nimeweka.

Niko serious balaaa.

#YNWA
Utapata Mkuu naamini ukidhamiria tuu unapata.
 
Back
Top Bottom