ANoblePerson
JF-Expert Member
- Sep 30, 2023
- 466
- 701
Ya kisiasa siasa tu ndiyo shida yake yaniUko sahihi.
Atawapokea sana WA-NEC (Jokes) japo ni uhalisia.
Kimsingi hii position imekaaga kichama chama.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ya kisiasa siasa tu ndiyo shida yake yaniUko sahihi.
Atawapokea sana WA-NEC (Jokes) japo ni uhalisia.
Kimsingi hii position imekaaga kichama chama.
Mbona bado zina quality tu hizo, nduguzo na akina JEEPHalmashauri ni mwendo wa kadeti za BOSS,HUGO,ZARA n.k bila kusahau shati la draft mkuu.
Kuna comment niliwahi isoma humu jamaa anawananga watu wa halmashauri mpka nikachoka.Mbona bado zina quality tu hizo, nduguzo na akina JEEP
Kuna Afisa kilimo kahamia hapo BOT kwenye kitengo cha note reserve.BOT itoe hapo huwezi kuingia pale kwa usaili. Mimi kuna jamaa namfahamu Division 1.8 O-level Kibaha. Division 1.3 EGM Pugu boys. UDSM B.Com Account GPA 4.2. CPA T.
Alipomaliza CPA kaanza kazi Auditing Firm. Alifanya interview hapo BOT 2015/2016 hadi wakabaki wawili oral. Baada ya hapo kimya hadi kesho. Tena anakwambia aliwakanda majaji wanatikisa kichwa tu.
Hizo barua mkurugenzi hana muda nazo wewe ila kuna wanafiki wachache ndio wanaojifanya wao ndio wakurugenzi. Mimi nilimpa secretary buku 2 barua ilisainiwa kwaniaba na mkurugenzi hakuwepo ofisiniUkiomba kutokea wilayani napo inabidi upitishe kwa md?
Kuna watu wana watu.Kuna Afisa kilimo kahamia hapo BOT kwenye kitengo cha note reserve.
Kupata inawezekana ila tu ujue Watu wanapatapataje.
#YNWA
Yes, ukiwa na mtu wa ndaniKuna Afisa kilimo kahamia hapo BOT kwenye kitengo cha note reserve.
Kupata inawezekana ila tu ujue Watu wanapatapataje.
#YNWA
Vipi kipato?!!!!!Uko sahihi.
Atawapokea sana WA-NEC (Jokes) japo ni uhalisia.
Kimsingi hii position imekaaga kichama chama.
Shida wanakera sana ukitaka kuondoka. Imagine upo idara ya ujenzi.Hizo barua mkurugenzi hana muda nazo wewe ila kuna wanafiki wachache ndio wanaojifanya wao ndio wakurugenzi. Mimi nilimpa secretary buku 2 barua ilisainiwa kwaniaba na mkurugenzi hakuwepo ofisini
Kawaida tu kama watumishi wengine.Vipi kipato?!!!!!
Hapo hutokiShida wanakera sana ukitaka kuondoka. Imagine upo idara ya ujenzi.
Qs-1
Civil-1
Electrical -1
Technician-2
Kuchomoka ni mtiti
Mkurugenzi hawezi kuja kukuzingua baadae mambo yakianza kuiva? au anajua kuwa barua ilisainiwa kwa niaba yakeHizo barua mkurugenzi hana muda nazo wewe ila kuna wanafiki wachache ndio wanaojifanya wao ndio wakurugenzi. Mimi nilimpa secretary buku 2 barua ilisainiwa kwaniaba na mkurugenzi hakuwepo ofisini
Hapa kikiumana ni mtiti. Bila Godfather hutoboi.Mkurugenzi hawezi kuna kukuzingua baadae mambo yakianza kuiva? au anajua kuwa barua ilisainiwa kwa niaba yake
Unaondoka hata kama uko pekee yakoShida wanakera sana ukitaka kuondoka. Imagine upo idara ya ujenzi.
Qs-1
Civil-1
Electrical -1
Technician-2
Kuchomoka ni mtiti
Utapata Mkuu naamini ukidhamiria tuu unapata.Napambana sanaaa
Cheki hii [emoji116][emoji116][emoji116] siku seriuos
View attachment 2863857
Ila ni za muda mrefu [emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 2863863
Ila kwasasa Niko serious, japo na apply zile za U-director na managers..!!!
Ya mwisho nilituma 27/01/2022 ya u-seriuos NIMETUMA 18/10/2023
Kwahiyo nilikaa mwaka na kitu bila kutuma chochoteee.
Nishafanya certifications Zotee na attachment zotee nimeweka.
Niko serious balaaa.
#YNWA
We are all equal, but some people are more equal.Kuna watu wana watu.
Afisa kilimo anaenda note reserve kubabeki.
PS na DHRO. Watawajibishwa kisawasawaHapa kikiumana ni mtiti. Bila Godfather hutoboi.
Nisaidie hyo namba mkuuSio kweli kama hautajali naweza kukutumia namba ya advocate na anaweza kukusaidia alinisaidia pia.
Kipindi cha nyuma hapo izo nafasi walikuwa wanapewa makada kama asante uchaguzi ukiisha, saiv naona wamezirudisha kwenye systemUko sahihi.
Atawapokea sana WA-NEC (Jokes) japo ni uhalisia.
Kimsingi hii position imekaaga kichama chama.