Pdf huchelewa kwenye account huanziaga huko waliokuwa selectedNasubiri tu pdf, kwenye akaunti huwa hawaniwekei walishanikanda
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kumbe we mweupe mashalaaah rangi ya mtume daah[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Naisubiri tuPdf huchelewa kwenye account huanziaga huko waliokuwa selected
πππππJobless afu natafuta utelezi itakuwa ndomaana nakandwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
ππππAmna me ndo nakwambia ukikuta hujawekewa afu wenzio tayari ujue wamekukanda hiyo nna experience nayoNikikuta empty halafu utaanza kuniambia bado wanaendelea kuweka ilihali nishakandwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jobless afu natafuta utelezi itakuwa ndomaana nakandwa
Mkuu we ni wakike?maana hiyo sante sasaππππSante
Ndoige [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Amna me ndo nakwambia ukikuta hujawekewa afu wenzio tayari ujue wamekukanda hiyo nna experience nayo
Najua hilo mkuu ndio maana nasema bora nisubiri pdf[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Amna me ndo nakwambia ukikuta hujawekewa afu wenzio tayari ujue wamekukanda hiyo nna experience nayo
ππππSawa sawa hutaki presha ndogo ndogoNajua hilo mkuu ndio maana nasema bora nisubiri pdf
ππππAsaivi kuna ngumi inaitwa mlupe lupeNdoige [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi maji ya kunde kwa mbaaaliii, mimi na weupe wapi na wap[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kumbe we mweupe mashalaaah rangi ya mtume daah[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Najijua mkuu kwa nini nijichoshe[emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sawa sawa hutaki presha ndogo ndogo
πππππHiyo hiyo afu mdogo wako alisoma udom college ya health wewe??yani kama nakupata pata hiviMimi maji ya kunde kwa mbaaaliii, mimi na weupe wapi na wap[emoji23]
ππππHutaki presha za afutatuNajijua mkuu kwa nini nijichoshe[emoji3][emoji3][emoji3]
Huyo kwenye Avatar yangu ndio mimi, sijui ni rangi gani maana jobless hawezi kuwa rangi constant, mambo yakimlemea anabadilika hadi rangi[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mimi maji ya kunde kwa mbaaaliii, mimi na weupe wapi na wap[emoji23]
Uzoefu unatufanya tusiwe na presha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hutaki presha za afutatu
πππππSisi ni wakongwe jobless pro maxUzoefu unatufanya tusiwe na presha
Huwez kunipata aisee, sote tumesoma udsm, na yeye bado anasoma masters. Dada ake niligomaπ₯±[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hiyo hiyo afu mdogo wako alisoma udom college ya health wewe??yani kama nakupata pata hivi