Pdf huchelewa kwenye account huanziaga huko waliokuwa selectedNasubiri tu pdf, kwenye akaunti huwa hawaniwekei walishanikanda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pdf huchelewa kwenye account huanziaga huko waliokuwa selectedNasubiri tu pdf, kwenye akaunti huwa hawaniwekei walishanikanda
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kumbe we mweupe mashalaaah rangi ya mtume daah[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Naisubiri tuPdf huchelewa kwenye account huanziaga huko waliokuwa selected
😂😂😂😂😂Jobless afu natafuta utelezi itakuwa ndomaana nakandwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
😂😂😂😂Amna me ndo nakwambia ukikuta hujawekewa afu wenzio tayari ujue wamekukanda hiyo nna experience nayoNikikuta empty halafu utaanza kuniambia bado wanaendelea kuweka ilihali nishakandwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jobless afu natafuta utelezi itakuwa ndomaana nakandwa
Mkuu we ni wakike?maana hiyo sante sasa😂😂😂😂Sante
Ndoige [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Amna me ndo nakwambia ukikuta hujawekewa afu wenzio tayari ujue wamekukanda hiyo nna experience nayo
Najua hilo mkuu ndio maana nasema bora nisubiri pdf[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Amna me ndo nakwambia ukikuta hujawekewa afu wenzio tayari ujue wamekukanda hiyo nna experience nayo
😂😂😂😂Sawa sawa hutaki presha ndogo ndogoNajua hilo mkuu ndio maana nasema bora nisubiri pdf
😂😂😂😂Asaivi kuna ngumi inaitwa mlupe lupeNdoige [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi maji ya kunde kwa mbaaaliii, mimi na weupe wapi na wap[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kumbe we mweupe mashalaaah rangi ya mtume daah[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Najijua mkuu kwa nini nijichoshe[emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sawa sawa hutaki presha ndogo ndogo
😂😂😂😂😂Hiyo hiyo afu mdogo wako alisoma udom college ya health wewe??yani kama nakupata pata hiviMimi maji ya kunde kwa mbaaaliii, mimi na weupe wapi na wap[emoji23]
😂😂😂😂Hutaki presha za afutatuNajijua mkuu kwa nini nijichoshe[emoji3][emoji3][emoji3]
Huyo kwenye Avatar yangu ndio mimi, sijui ni rangi gani maana jobless hawezi kuwa rangi constant, mambo yakimlemea anabadilika hadi rangi[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mimi maji ya kunde kwa mbaaaliii, mimi na weupe wapi na wap[emoji23]
Uzoefu unatufanya tusiwe na presha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hutaki presha za afutatu
😂😂😂😂😂Sisi ni wakongwe jobless pro maxUzoefu unatufanya tusiwe na presha
Huwez kunipata aisee, sote tumesoma udsm, na yeye bado anasoma masters. Dada ake niligoma🥱[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hiyo hiyo afu mdogo wako alisoma udom college ya health wewe??yani kama nakupata pata hivi