Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

sema bora sisi wa 11 kwenye pdf tunakumbukwa ila nyie wa 6 mna hali mbaya sana sijui mliwafanya nn utumishi
Yaaani, watuonee huruma tu maana kitaa hali mbaya, siku zinasonga kila pdf holaaa!!
 
Dah Wakimbizi wanapata ajira nchini Kwetu na wengine wanateuliwa nafasi za juu kabisaa alafu kuna sisi wazawa tena wengine na Degree zetu tunaishia kusambaza CV ofisi za watu napo tunakosa tunabaki jobless tu mtaani.

Inauma sana...
PSRS kuweni na Huruma kwa kauli iliyotolewa
 
Ubaoni kumekauka sana, fanyeni tuongeze received jua linazidi kuzama tunaitwa wastafu bila kulamba asali...
 
Sijui wanasubilia nini yan, maisha hayasomeki huku mtaani Received yenyewe ninayo moja, sijui na yenyewe nitaitwa?🤕hako hako ka Received wanakabania kukaita😏
Ubaoni kumekauka sana, fanyeni tuongeze received jua linazidi kuzama tunaitwa wastafu bila kulamba asali..
 
Hivi kwanza niulize swali, Hivi huwa wanatumia muda gani mpaka kuita watu kwenye usaili yaan kutoka wanapotoa tangazo la kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…