Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sema bora sisi wa 11 kwenye pdf tunakumbukwa ila nyie wa 6 mna hali mbaya sana sijui mliwafanya nn utumishiUtumishi tunawaomba mtukumbuke na sisi wa mwezi wa sita/database.
Yaaani, watuonee huruma tu maana kitaa hali mbaya, siku zinasonga kila pdf holaaa!!sema bora sisi wa 11 kwenye pdf tunakumbukwa ila nyie wa 6 mna hali mbaya sana sijui mliwafanya nn utumishi
leo kuna dalili ya pdfHaya sasa IT nishauri nikate kimbinyiko,ABC,shabiby au nile flight kabisa..
hahahahahIla Sekretarieti..
Ubaoni kumekauka sana, fanyeni tuongeze received jua linazidi kuzama tunaitwa wastafu bila kulamba asali..
kuanzia miezi 2 mpaka 5Hivi kwanza niulize swali, Hivi huwa wanatumia muda gani mpaka kuita watu kwenye usaili yaan kutoka wanapotoa tangazo la kazi
jamaa yako aliamua kujipa mwenyewe ajira bwana..
Kasema kuna kimbinyiko ya usiku🤣🤣🤣IT mabasi yanajaa jaman, au unataka nisimame,,,
jamaa alivoona asali inakawia akaamua ajichongeshee mwenyewe mzinga akajipangia na mshahara bila makato. 🤣 🤣[emoji3][emoji3][emoji3]kile kichwa kimeshachungulia kibra
😂😂😂Dadek kumbe nikalime shamba tu hapakuanzia miezi 2 mpaka 5
uliapply lini kwani😂😂😂Dadek kumbe nikalime shamba tu hapa
Tarehe moja mwezi huu mwananguliapply lini kwani