Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Dah Wakimbizi wanapata ajira nchini Kwetu na wengine wanateuliwa nafasi za juu kabisaa alafu kuna sisi wazawa tena wengine na Degree zetu tunaishia kusambaza CV ofisi za watu napo tunakosa tunabaki jobless tu mtaani.

Inauma sana...
PSRS kuweni na Huruma kwa kauli iliyotolewa
 
Ubaoni kumekauka sana, fanyeni tuongeze received jua linazidi kuzama tunaitwa wastafu bila kulamba asali...
IMG_20240122_155806.jpg
 
Sijui wanasubilia nini yan, maisha hayasomeki huku mtaani Received yenyewe ninayo moja, sijui na yenyewe nitaitwa?🤕hako hako ka Received wanakabania kukaita😏
Ubaoni kumekauka sana, fanyeni tuongeze received jua linazidi kuzama tunaitwa wastafu bila kulamba asali..
 
Hivi kwanza niulize swali, Hivi huwa wanatumia muda gani mpaka kuita watu kwenye usaili yaan kutoka wanapotoa tangazo la kazi
 
Back
Top Bottom