ThugMaster
JF-Expert Member
- Aug 24, 2015
- 1,594
- 2,234
Mkuu mbona hizi tamplet zipo nyingi tuu...na unaweza zipata kirahisi.Bro nisaidie, tamplet ya application letter uliyotumia.
Haifunguki na nafikiri iko kwny matengenezoWakuu, mmejaribu ajira portal inafunguka kweli?
Okay.Haifunguki na nafikiri iko kwny matengenezo
Za mtandaoni nimeziona.Mkuu mbona hizi tamplet zipo nyingi tuu...na unaweza zipata kirahisi.
Template sio ishu cha muhimu ni kujiandaa na kazi unayoiomba. Kwa experience Application letter hata ya ukiandika kwa mkono unaitwa.Za mtandaoni nimeziona.
I need more.
Template andika kwa staili yeyote tu ila zingatia content muhimu kama.Bro nisaidie, tamplet ya application letter uliyotumia.
Anazngua..tuwe wapole IT ana kipindupindu tusubiri apone..
IT Ana PDF za placements sijui anafeli wapi kupandsha..Jidanganye Mpaka February 1
Rudi kasome qualifications za post..Wakuu, inakuaje mtu umejaza kila kitu inasoma 100% na vyeti vyote lakini kila ukiomba inaandika FAIL?
Vigezo vyote ninavyo na nimeambatanisha na vyeti.Rudi kasome qualifications za post..
Pengne huna vigezo..
Au kwenye kujaza details zako za professional umekosea ndo maan inagoma.
Vigezo vyote ninavyo na nimeambatanisha na vyeti.
Poapoa mkuu.Kama kila kitu kipo sawa sometimes inakua ni ishu zao za kiufundi..subiria mpaka itakubali tu
Ulipiga interview Kwa kada gani ?Leo nina furaha baada ya kupita oral ya wafaransa kwenye bomba la mafuta la east Africa. Utumishi nilishinndwa nikajaribu mlango mwingine naona umefunguka
Sent from my SM-A025U using JamiiForums mobile app
Maana naona utumishi miyeyusho tuLeo nina furaha baada ya kupita oral ya wafaransa kwenye bomba la mafuta la east Africa. Utumishi nilishinndwa nikajaribu mlango mwingine naona umefunguka
Sent from my SM-A025U using JamiiForums mobile app
Em screenshot job qualifications na course uliyosomeaVigezo vyote ninavyo na nimeambatanisha na vyeti.
Em screenshot job qualifications na course uliyosomea