Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Bro nisaidie, tamplet ya application letter uliyotumia.
Template andika kwa staili yeyote tu ila zingatia content muhimu kama.

1. Anwani yako
2. Anwani ya PSRS
3. Kichwa cha Barua(Yah/Ref)
4. Main body
5. Jina(Sahihi yako)

Angalia huu mpangilio kwenye picha, ndio niliaandikaga hivi.
IMG_20240124_171304_393.jpg
 
Wakuu, inakuaje mtu umejaza kila kitu inasoma 100% na vyeti vyote lakini kila ukiomba inaandika FAILED?
 
Wakuu, inakuaje mtu umejaza kila kitu inasoma 100% na vyeti vyote lakini kila ukiomba inaandika FAIL?
Rudi kasome qualifications za post..
Pengne huna vigezo..

Au kwenye kujaza details zako za professional umekosea ndo maan inagoma.
 
Back
Top Bottom