Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Wekeni no. Za simu IT PERSONEL mwezi ujao anavuta ile JIWE yake anaweza akawajalijali wadau[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna mtu namsadia kuomba kazi apa ila kila nkiweka namba yake ya nida wananambia ishatumika je nifanyeje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…