Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Wekeni no. Za simu IT PERSONEL mwezi ujao anavuta ile JIWE yake anaweza akawajalijali wadau[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna mtu namsadia kuomba kazi apa ila kila nkiweka namba yake ya nida wananambia ishatumika je nifanyeje
 
Wapigie mkuu wanapokea na kutatua tatizo
F9_zM89WQAAlyS0.jpeg.jpg
 
Back
Top Bottom