Inaoneka wanasafisha Database ya mwaka 2022(Mh.Mhagama agizo) ambayo majina walikuwa wameweka pending .......mambo si mambo aisee.alafu si walisema watakua wanatoa matokeo kwa wakati mbona imekua viceversa.
Uliulizwa hili swali?Tell us why should we hire/employ you?
Kuna dogo kalamba asali anakula 1.9m ila analalamika kuwa ndogondugu zangu tusikate tamaa tutapata tu.
Shukurani kiongoziWapigie mkuu wanapokea na kutatua tatizoView attachment 2884531
Siku zote mishahara haijawahi kutosha kikubwa maokoto yapo?Kuna dogo kalamba asali anakula 1.9m ila analalamika kuwa ndogo
Ukiona analalamika njaa ujue anakula mshahara tu hana posho huyoKuna dogo kalamba asali anakula 1.9m ila analalamika kuwa ndogo
Ana extra duty ya 800,000/-Ukiona analalamika njaa ujue anakula mshahara tu hana posho huyo
Taasis gani hii?Ana extra duty ya 800,000/-
Agency Fulani hiviTaasis gani hii?
muda si mrefu nyie wa muhimbili mnaitwa..[emoji28][emoji23][emoji23][emoji23]unakuta kuna mtu humu mkeka wake utatoka December 2024......si tulioenda na ma jeans interview tunajua tushakandwa tuko mtaani tunauza SISO tu