Nami ndo nataka kuuliza. Kanamaana gani ya ni kwa ajili ya Nini?hivi kale kasehemu pale chini ya placement kalikoandikwa "journal" kalikuepo au..??
Hakakuwepo, wamekaongeza kakuweka machapisho yaohivi kale kasehemu pale chini ya placement kalikoandikwa "journal" kalikuepo au..??
Kulikoni?!JObless wanapambana wapate kazi ila wengine ndo kama hivi
Suka wa serikali amekutwa amelewa chakali na kusababisha ajali akiwa anaenda hiyo ndinga ya serikaliKulikoni?!
Uyu kazi atakua nayo kweli,au ndo ba Jane bye-bye?JObless wanapambana wapate kazi ila wengine ndo kama hivi
Huyo kayaaga mashindanoUyu kazi atakua nayo kweli,au ndo ba Jane bye-bye?
Aisee😳Suka wa serikali amekutwa amelewa chakali na kusababisha ajali akiwa anaenda hiyo ndinga ya serikali
huyo atapewa onyo tu then anaendelea na mzigo.labda akija kurudia
Usifanya hasira kaka twende mdogo mdogo😁😁😁😁 endelea kuongeza receivedDaaah sijui niwalaumu PSRS sijui niilaumu taasisi sijui niilaumu serikali yaaani sielewi[emoji23][emoji23][emoji23]watu wa private wanafanya interview ijumaa then j3 mtu anaanza kazi yani mtu anaanza life lake anaweka vi akiba vya mishahara mpka anaelekea kuvuta CROWN [emoji592] Sisi tu nasubria PDF then PDF linakuja haumo uyu wa private December anaenda kusalimia familia akiwa kwenye private car yake[emoji23][emoji23]we unaambiwa nyumbani ntakuja mwaka ujao [emoji23][emoji23]muda huo una wait DATABASE...daaah acheni watu wavimbe wakisha pata check No.
Check number muhimu sana ukiipata umejipata,,, kuja kutolewa kazi sana.Daaah sijui niwalaumu PSRS sijui niilaumu taasisi sijui niilaumu serikali yaaani sielewi[emoji23][emoji23][emoji23]watu wa private wanafanya interview ijumaa then j3 mtu anaanza kazi yani mtu anaanza life lake anaweka vi akiba vya mishahara mpka anaelekea kuvuta CROWN [emoji592] Sisi tu nasubria PDF then PDF linakuja haumo uyu wa private December anaenda kusalimia familia akiwa kwenye private car yake[emoji23][emoji23]we unaambiwa nyumbani ntakuja mwaka ujao [emoji23][emoji23]muda huo una wait DATABASE...daaah acheni watu wavimbe wakisha pata check No.
KUMBE SASA HVI KUNA AGE LIMIT YAAANI SISI WENYE 30+ ndo tusAHAU KABISAAAAA
CC. TANGAZO LA KAZI LA TAKUKURU
Duh!!!!.....ila wanasahau Magu hakuajiri zaidi ya miaka 4+Hatari mkuu, kuna jingine leo nimeona shirika la posta age limit 30...
Na Hawa wamejitoa psrs?