Yani kule takukuru nina vigezo vyote ktk nafasi kadhaa ila age ndo nimekwama, eee Mungu njoo utusaidie wanaoKUMBE SASA HVI KUNA AGE LIMIT YAAANI SISI WENYE 30+ ndo tusAHAU KABISAAAAA
CC. TANGAZO LA KAZI LA TAKUKURU
Itakuwa hivyo mkuu ndio maana wanajitangazia na kutaka maombi yatumwe kwaoNa Hawa wamejitoa psrs?
Hii ya umri inawanyima haki vijana wengi kupata kazi.
Kinachouma zaid ni zile cost 2nazotumia dom[emoji25]Usifanya hasira kaka twende mdogo mdogo[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] endelea kuongeza received
Mkuu ww endelea kusubiri mataasis makubwa na angalau uko sehemu ya kusikilizia,ss ha2na namna tunapambania kombe maana hata sku 1 wote tukawa kwny taasis kubwa,But all in all Mungu ndo mpangaji.Kuna mpuuz mmoja eti anasema Nia ibu kwenda kushindana na vitoto vya miaka 25-27 eti kisa una miaka 38+++
Huyu jamaa Ni mjinga sna
Mim Niko shirika la binafsi liko fresh tu ila Kuna wakt mwingine natamani kufanya Kaz seerekali Tena kwenye taasiis nyeti
Mfano tra,latra ,brela ,ewura na tpcl Sasa hapo Nani hataki kufaya Kaz kweny hayo mashirika Ni mjinga tu atacah kuapply eti kisa umri
Mm nilivyoona tra na latra au brela siwezi kuwachiaa lzm namm nikale good time huko
Huwa Nina aminj ipo siku nitaingia ktk utumishi wa umma kwenye taasi kubwa not halmashuri
Kbsaa mungu ndio muamuzi wa mwisho wee muhimu kaza san kusoma na kuapplya kaz zote za kada yakoMkuu ww endelea kusubiri mataasis makubwa na angalau uko sehemu ya kusikilizia,ss ha2na namna tunapambania kombe maana hata sku 1 wote tukawa kwny taasis kubwa,But all in all Mungu ndo mpangaji.
Unaweza ukafanya usaili katika taasisi kubwa kwa bahati mbaya ukakosa, kanzi data ikakupeleka halmashauri vipi hutoripoti huko halmshauri??Kuna mpuuz mmoja eti anasema Nia ibu kwenda kushindana na vitoto vya miaka 25-27 eti kisa una miaka 38+++
Huyu jamaa Ni mjinga sna
Mim Niko shirika la binafsi liko fresh tu ila Kuna wakt mwingine natamani kufanya Kaz seerekali Tena kwenye taasiis nyeti
Mfano tra,latra ,brela ,ewura na tpcl Sasa hapo Nani hataki kufaya Kaz kweny hayo mashirika Ni mjinga tu atacah kuapply eti kisa umri
Mm nilivyoona tra na latra au brela siwezi kuwachiaa lzm namm nikale good time huko
Huwa Nina aminj ipo siku nitaingia ktk utumishi wa umma kwenye taasi kubwa not halmashuri
😀😀😀Unaweza ukafanya usaili katika taasisi kubwa kwa bahati mbaya ukakosa, kanzi data ikakupeleka halmashauri vipi hutoripoti huko halmshauri??
Karibu sana Mkuu.Kuna mpuuz mmoja eti anasema Nia ibu kwenda kushindana na vitoto vya miaka 25-27 eti kisa una miaka 38+++
Huyu jamaa Ni mjinga sna
Mim Niko shirika la binafsi liko fresh tu ila Kuna wakt mwingine natamani kufanya Kaz seerekali Tena kwenye taasiis nyeti
Mfano tra,latra ,brela ,ewura na tpcl Sasa hapo Nani hataki kufaya Kaz kweny hayo mashirika Ni mjinga tu atacah kuapply eti kisa umri
Mm nilivyoona tra na latra au brela siwezi kuwachiaa lzm namm nikale good time huko
Huwa Nina aminj ipo siku nitaingia ktk utumishi wa umma kwenye taasi kubwa not halmashuri
Faza [emoji848]Karibu sana Mkuu.
Hakuajiri kwenye sekta gn
Mambo vipi ndugu yangu?Faza [emoji848]
Safi Maisha yanaendaMambo vipi ndugu yangu?
Wanazingua sanaaa !!!!......Wanajitahidi kujitangaza ila huku background mambo siyo kabisa...
Alafu kuna tangazo la kazi shirika la posta pia kuna nafasi kama Customer care office ina age limit not more than 30 yrsKUMBE SASA HVI KUNA AGE LIMIT YAAANI SISI WENYE 30+ ndo tusAHAU KABISAAAAA
CC. TANGAZO LA KAZI LA TAKUKURU