Ehhh ugonjwa wao ni wale watoto wa Kike, na waga vinawamega baada ya interview kwa sababu baadhi yao hujirahisi kwa kuhisi watapata kaziMm naonaga vile vijamaa kama vishamba Fulani muda wote kujichekesha kwa mademu pale asha migiro.
Wakiona msela wanakukazia
Hizi ngozi nyeusi laana tu kitu kidogo mtu anakikuza kionekane cha ajabu.Haha jamaa alikosea sana, Bora angekuita chemba akakuambia umekosea,,au alitaka tu kukuaibisha mbele ya wale wanawake
Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Ngozi nyeusi na madaraka/nafasi waga tunaona Maisha tumeyapatia sanaHizi ngozi nyeusi laana tu kitu kidogo mtu anakikuza kionekane cha ajabu.
Sent from my SM-A025U using JamiiForums mobile app
Acha tu mzungu anajua kucare hawana longo longo za kikuda wala majivuno kama ma Hr wakibongo.Mbongo akiona mtu anataabika ndio roho yake inafurahi.Ngozi nyeusi na madaraka/nafasi waga tunaona Maisha tumeyapatia sana
si ndio hata mimi nashangaa yaani utumishi hata ubwabwa kutupikia wanashindwa jaman.yaani pale wengine wanafeli kwasababu ya njaa.. π€£ π€£Acha tu mzungu anajua kucare hawana longo longo za kikuda wala majivuno kama ma Hr wakibongo.Mbongo akiona mtu anataabika ndio roho yake inafurahi.
Sijawahi kufanya interview hata moja ila hii ya bomba la mafuta la east africa ndio imekuwa ya kwanza aloo mzungu mzungu tu.
Tulikuwa wengi tulioitwa kwenye interview almost 300 ila hata kama uko kijiji gani utalipiwa nauli hadi ufike dar kwenda na kurudi usafiri wowote utakaopenda ila usipande ndege tu[emoji3][emoji3].Hii ni kwa both oral and written.
Ukilala hotelini hata kama ni guest ya 5000 ,watakulipa 70,000 per night. Hotel tuliokuwa tukifanyia interview sasa ni seacliff [emoji3][emoji3]. Pesa ya kula 30,000
Na hapo Hotelin unakuta wamekuandalia Chai nzito vitafunwa vya kila aina, maji, chocolate,pipi yaani watakulazimisha ule hata kama hutaki utakula tu.
Hoteli ile ni kubwa ila kuanzia getini utakaribishwa kama mfalme. Kuna wale ambao kwa namna moja ama nyingine walikuwa wanashindwa kufika kwenye interview yaani utapigiwa simu wanakuuliza kama utaweza wakupangie siku nyingine. Kuna jamaa alisema siwezi kuja sababu sijajiandaa wakawa wanambebeleza njoo hivyo hivyo ujaribu bahati yako.
Maswala sijui ya kubeba mavyeti hawataki ni wewe na I'd yako yoyote. Ukimaliza interview unaenda kwa cashier anakulipa pesa zako zote ndio unasepa.
Kwenye oral interview kila mtu alikuwa amepewa saa moja kwenye venue uliopangiwa mfano ukachelewa wanam interview mwenzako aliewahi halafu wew watakuinterview baadae sio kama wabongo eti ukichelewa hata kwa bahati mbaya ndio imekula kwako na mabango juu.
Wakati wa interview sasa nilikuwa najiuliza nitaongea kizungu gani mimi na wazungu kwenye lisaa lizima wakati kizungu chenyewe sijui aloo wale jamaa wanajua kucare [emoji3][emoji3][emoji3]interview zote zingekuwa hivyo daa wakiona kuna swali unatapa tapa kujibu wanapredict unachojaribu kujibu wanakuolezea mpaka mwenyewe unasema yes yes yes ndio hiyo.
Au wakiona umechoka kidogo wanakwambia pumzika dakika tano kunywa maji Kisha tuendelee. Ambao tumepita oral interview last month tumeambiwa tutafute best private hospital yoyote iliyo kwenye mkoa uliopo Kisha tuwatumie ndio tunasubiri majibu yao twende kwenye medicals.
Sent from my SM-A025U using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]njaa znauma kweli,ila mm mbn hamu ya kula inakatagasi ndio hata mimi nashangaa yaani utumishi hata ubwabwa kutupikia wanashindwa jaman.yaani pale wengine wanafeli kwasababu ya njaa.. [emoji1787] [emoji1787]
mmhhh hofu ya kukandwa iyo.Tuliozoea kukandwa njaa huwa tunaziskia kama kawaida π€£ π€£[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]njaa znauma kweli,ila mm mbn hamu ya kula inakataga
Dahh wazungu ata ukikosa kazi unakosa ukiwa umeridhika kabisa maana kila kitu kilikuwa fair upande wakoAcha tu mzungu anajua kucare hawana longo longo za kikuda wala majivuno kama ma Hr wakibongo.Mbongo akiona mtu anataabika ndio roho yake inafurahi.
Sijawahi kufanya interview hata moja ila hii ya bomba la mafuta la east africa ndio imekuwa ya kwanza aloo mzungu mzungu tu.
Tulikuwa wengi tulioitwa kwenye interview almost 300 ila hata kama uko kijiji gani utalipiwa nauli hadi ufike dar kwenda na kurudi usafiri wowote utakaopenda ila usipande ndege tu[emoji3][emoji3].Hii ni kwa both oral and written.
Ukilala hotelini hata kama ni guest ya 5000 ,watakulipa 70,000 per night. Hotel tuliokuwa tukifanyia interview sasa ni seacliff [emoji3][emoji3]. Pesa ya kula 30,000
Na hapo Hotelin unakuta wamekuandalia Chai nzito vitafunwa vya kila aina, maji, chocolate,pipi yaani watakulazimisha ule hata kama hutaki utakula tu.
Hoteli ile ni kubwa ila kuanzia getini utakaribishwa kama mfalme. Kuna wale ambao kwa namna moja ama nyingine walikuwa wanashindwa kufika kwenye interview yaani utapigiwa simu wanakuuliza kama utaweza wakupangie siku nyingine. Kuna jamaa alisema siwezi kuja sababu sijajiandaa wakawa wanambebeleza njoo hivyo hivyo ujaribu bahati yako.
Maswala sijui ya kubeba mavyeti hawataki ni wewe na I'd yako yoyote. Ukimaliza interview unaenda kwa cashier anakulipa pesa zako zote ndio unasepa.
Kwenye oral interview kila mtu alikuwa amepewa saa moja kwenye venue uliopangiwa mfano ukachelewa wanam interview mwenzako aliewahi halafu wew watakuinterview baadae sio kama wabongo eti ukichelewa hata kwa bahati mbaya ndio imekula kwako na mabango juu.
Wakati wa interview sasa nilikuwa najiuliza nitaongea kizungu gani mimi na wazungu kwenye lisaa lizima wakati kizungu chenyewe sijui aloo wale jamaa wanajua kucare [emoji3][emoji3][emoji3]interview zote zingekuwa hivyo daa wakiona kuna swali unatapa tapa kujibu wanapredict unachojaribu kujibu wanakuolezea mpaka mwenyewe unasema yes yes yes ndio hiyo.
Au wakiona umechoka kidogo wanakwambia pumzika dakika tano kunywa maji Kisha tuendelee. Ambao tumepita oral interview last month tumeambiwa tutafute best private hospital yoyote iliyo kwenye mkoa uliopo Kisha tuwatumie ndio tunasubiri majibu yao twende kwenye medicals.
Sent from my SM-A025U using JamiiForums mobile app
Ilikuwa position gani mkuu?Acha tu mzungu anajua kucare hawana longo longo za kikuda wala majivuno kama ma Hr wakibongo.Mbongo akiona mtu anataabika ndio roho yake inafurahi.

Utumishi nyoko.si ndio hata mimi nashangaa yaani utumishi hata ubwabwa kutupikia wanashindwa jaman.yaani pale wengine wanafeli kwasababu ya njaa.. π€£ π€£
π€£ π€£π€£ watu wanashangaa jobless katika kutoa vyeti kadondosha andaziUtumishi nyoko.
"Msailiwa atajitegemea nauli, chakula na sehemu ya kulala".
Msisahau kubeba Fanta orange na Maandazi kwenye mabegi.
πππ Hatari sana.π€£ π€£π€£ watu wanashangaa jobless katika kutoa vyeti kadondosha andazi
Pale asha rose migiro, mkiwa wengi kada tofauti mnapelekeshwa kama watoto na kufokewa juu na walinzi wao. Mnapigwa jua na baridi la dom kabla ya kuingia kukandwa unawaza umaskini wako na familia yako unaona tu hamna namna nikuikubali tu system.Dahh wazungu ata ukikosa kazi unakosa ukiwa umeridhika kabisa maana kila kitu kilikuwa fair upande wako
ila sisi lazima tukupanikishe kwanza, tukufanye uonekane huna unachokijua na wala haustahili kupata hiyo kazi
Hivi huwa wanapita humu kuna mengi sana wanatakiwa kujifunza, jamaa wanachofanya kwanza ni kukuogopesha toka wanaanza ukaguzi wa vyeti na vitu vingine, mpaka kuingia kwenye chumba cha interview unakua haupo katika utulivu.Acha tu mzungu anajua kucare hawana longo longo za kikuda wala majivuno kama ma Hr wakibongo.Mbongo akiona mtu anataabika ndio roho yake inafurahi.
Sijawahi kufanya interview hata moja ila hii ya bomba la mafuta la east africa ndio imekuwa ya kwanza aloo mzungu mzungu tu.
Tulikuwa wengi tulioitwa kwenye interview almost 300 ila hata kama uko kijiji gani utalipiwa nauli hadi ufike dar kwenda na kurudi usafiri wowote utakaopenda ila usipande ndege tu[emoji3][emoji3].Hii ni kwa both oral and written.
Ukilala hotelini hata kama ni guest ya 5000 ,watakulipa 70,000 per night. Hotel tuliokuwa tukifanyia interview sasa ni seacliff [emoji3][emoji3]. Pesa ya kula 30,000
Na hapo Hotelin unakuta wamekuandalia Chai nzito vitafunwa vya kila aina, maji, chocolate,pipi yaani watakulazimisha ule hata kama hutaki utakula tu.
Hoteli ile ni kubwa ila kuanzia getini utakaribishwa kama mfalme. Kuna wale ambao kwa namna moja ama nyingine walikuwa wanashindwa kufika kwenye interview yaani utapigiwa simu wanakuuliza kama utaweza wakupangie siku nyingine. Kuna jamaa alisema siwezi kuja sababu sijajiandaa wakawa wanambebeleza njoo hivyo hivyo ujaribu bahati yako.
Maswala sijui ya kubeba mavyeti hawataki ni wewe na I'd yako yoyote. Ukimaliza interview unaenda kwa cashier anakulipa pesa zako zote ndio unasepa.
Kwenye oral interview kila mtu alikuwa amepewa saa moja kwenye venue uliopangiwa mfano ukachelewa wanam interview mwenzako aliewahi halafu wew watakuinterview baadae sio kama wabongo eti ukichelewa hata kwa bahati mbaya ndio imekula kwako na mabango juu.
Wakati wa interview sasa nilikuwa najiuliza nitaongea kizungu gani mimi na wazungu kwenye lisaa lizima wakati kizungu chenyewe sijui aloo wale jamaa wanajua kucare [emoji3][emoji3][emoji3]interview zote zingekuwa hivyo daa wakiona kuna swali unatapa tapa kujibu wanapredict unachojaribu kujibu wanakuolezea mpaka mwenyewe unasema yes yes yes ndio hiyo.
Au wakiona umechoka kidogo wanakwambia pumzika dakika tano kunywa maji Kisha tuendelee. Ambao tumepita oral interview last month tumeambiwa tutafute best private hospital yoyote iliyo kwenye mkoa uliopo Kisha tuwatumie ndio tunasubiri majibu yao twende kwenye medicals.
Sent from my SM-A025U using JamiiForums mobile app
Production operators.Ilikuwa position gani mkuu?
Yaan ukweli kabisa..ndo maana maisha yetu yapo jinsi yalivyo ni huzuni sanaDahh wazungu ata ukikosa kazi unakosa ukiwa umeridhika kabisa maana kila kitu kilikuwa fair upande wako