Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Mambo yapo kasi.

Kwahiyo sasa hivi zile nafasi za kazi walizokuwa wanaapply na kufanyiwa usaili halmashauri nazo wanapitia Ajira Portal. ie.watendaji wa vijiji/mitaa, madereva wa Halmashauri, watunza kumbukumbu.
 
Ushahidi tunaomba .
Maana hii kitu sidhani kama inawezekana
Nikweli hata wizarani mimi mwaka niliomaliza udsm hapo kwenye kozi yetu na zilizokuwa zinaingiliana walichukua classmates kibao waliokuwa wako serious na shule GPA 3.8 and abovu. Interview walifanyia BOT

Sent from my SM-A025U using JamiiForums mobile app
 
🤣 🤣 🤣 duhh si mchezo
 
Yani ukitaka kujua utumish hawak serious oral interview kwa mujibu ratb n saa 1 but sjui shida inakua wap mpk mnakuj kuanz saa 5/6 uko hawjui wngine unakua umepang ukimaliz tu interview uondok direct ukapand bas urud home ili kupunguz gharam za kulala gct sku iyo..km wangekua serious saa1 au saa 2 wa2 wanaanz kufny interview tunawaona kbsa wko serious lkn wanajivuta vuta hawako organised kbsaaaaa kwnye kila kitu
 
wale huwa wanafanya vile ili muda wanaotaka wao ukifika kila mtu awe kashafika alafu wamesaini kila kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…