HS CODE
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 1,784
- 4,376
[emoji1787] [emoji1787][emoji1787] watu wanashangaa jobless katika kutoa vyeti kadondosha andazi
[emoji3][emoji2][emoji1][emoji16][emoji28][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787] [emoji1787][emoji1787] watu wanashangaa jobless katika kutoa vyeti kadondosha andazi
Naomba kuuliza hivi PSRS wanatumia muda gani mpka kuita watu kwenye usajili?
Sent from my Infinix X6816 using JamiiForums mobile app
[emoji1787]ngoja nisubili uchaguzi nigombee udiwani tu naona utumishi mambo yameshakua mengi umeme wenyewe nimeshasahau kila kitu nisijekuja kujifia bure...
Taasisi wanaajiri kimyakimya.Mambo yapo kasi.
Kwahiyo sasa hivi zile nafasi za kazi walizokuwa wanaapply na kufanyiwa usaili halmashauri nazo wanapitia Ajira Portal. ie.watendaji wa vijiji/mitaa, madereva wa Halmashauri, watunza kumbukumbu.
Ushahidi tunaomba .Taasisi wanaajiri kimyakimya.
Nikweli hata wizarani mimi mwaka niliomaliza udsm hapo kwenye kozi yetu na zilizokuwa zinaingiliana walichukua classmates kibao waliokuwa wako serious na shule GPA 3.8 and abovu. Interview walifanyia BOTUshahidi tunaomba .
Maana hii kitu sidhani kama inawezekana
Haikuchukua muda ndani ya mwezi mchakato wote ulikua umekamilika mpaka watu kuitwa kaziniIlichukua mda gani mpaka ukaitwa interview baada ya kuomba
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]daaa ilikua tar 15 hii cku hali ya hewa ilikua mbaya mvua barid nalo kali mpka unakuj kuingia kwny oral interview uko hoi..wa2 tka saa 12 tk kwny viunga vya migiro wnyew wanakuj kuanz saa 5..wamekunywa chai nzito ndo wakaanz kutukanda
🤣 🤣 🤣 duhh si mchezo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]daaa ilikua tar 15 hii cku hali ya hewa ilikua mbaya mvua barid nalo kali mpka unakuj kuingia kwny oral interview uko hoi..wa2 tka saa 12 tk kwny viunga vya migiro wnyew wanakuj kuanz saa 5..wamekunywa chai nzito ndo wakaanz kutukanda
wale huwa wanafanya vile ili muda wanaotaka wao ukifika kila mtu awe kashafika alafu wamesaini kila kitu.Yani ukitaka kujua utumish hawak serious oral interview kwa mujibu ratb n saa 1 but sjui shida inakua wap mpk mnakuj kuanz saa 5/6 uko hawjui wngine unakua umepang ukimaliz tu interview uondok direct ukapand bas urud home ili kupunguz gharam za kulala gct sku iyo..km wangekua serious saa1 au saa 2 wa2 wanaanz kufny interview tunawaona kbsa wko serious lkn wanajivuta vuta hawako organised kbsaaaaa kwnye kila kitu
Mmh labda , ila mm navyojua huwa wanatoa TangazoNikweli hata wizarani mimi mwaka niliomaliza udsm hapo kwenye kozi yetu na zilizokuwa zinaingiliana walichukua classmates kibao waliokuwa wako serious na shule GPA 3.8 and abovu. Interview walifanyia BOT
Sent from my SM-A025U using JamiiForums mobile app
Aisee kumbe wapo chap hvi. Kwahiyo majina ya usaili walitoa kwa pdf na kupeleka public.Haikuchukua muda ndani ya mwezi mchakato wote ulikua umekamilika mpaka watu kuitwa kazini