Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Mambo yapo kasi.

Kwahiyo sasa hivi zile nafasi za kazi walizokuwa wanaapply na kufanyiwa usaili halmashauri nazo wanapitia Ajira Portal. ie.watendaji wa vijiji/mitaa, madereva wa Halmashauri, watunza kumbukumbu.
 
Ushahidi tunaomba .
Maana hii kitu sidhani kama inawezekana
Nikweli hata wizarani mimi mwaka niliomaliza udsm hapo kwenye kozi yetu na zilizokuwa zinaingiliana walichukua classmates kibao waliokuwa wako serious na shule GPA 3.8 and abovu. Interview walifanyia BOT

Sent from my SM-A025U using JamiiForums mobile app
 
419873953_371624775509129_3908027805845221740_n.jpg
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]daaa ilikua tar 15 hii cku hali ya hewa ilikua mbaya mvua barid nalo kali mpka unakuj kuingia kwny oral interview uko hoi..wa2 tka saa 12 tk kwny viunga vya migiro wnyew wanakuj kuanz saa 5..wamekunywa chai nzito ndo wakaanz kutukanda
🤣 🤣 🤣 duhh si mchezo
 
Yani ukitaka kujua utumish hawak serious oral interview kwa mujibu ratb n saa 1 but sjui shida inakua wap mpk mnakuj kuanz saa 5/6 uko hawjui wngine unakua umepang ukimaliz tu interview uondok direct ukapand bas urud home ili kupunguz gharam za kulala gct sku iyo..km wangekua serious saa1 au saa 2 wa2 wanaanz kufny interview tunawaona kbsa wko serious lkn wanajivuta vuta hawako organised kbsaaaaa kwnye kila kitu
 
wale huwa wanafanya vile ili muda wanaotaka wao ukifika kila mtu awe kashafika alafu wamesaini kila kitu.
 
Back
Top Bottom