Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Mimi innojembe kiboko ya Itpersonal nimelamba asali asanteni kwa ushirikiano.....nnamengi ya kusema ila kwa uchache nseme 1.MUNGU 2.TIME 3.PATIENT 4.CONFIDENCE 5.UJANJA KWA KUCHANGAMKA
Hongera sana kijana, ukawe mtumishi mwema
 
Mimi innojembe kiboko ya Itpersonal nimelamba asali asanteni kwa ushirikiano.....nnamengi ya kusema ila kwa uchache nseme 1.MUNGU 2.TIME 3.PATIENT 4.CONFIDENCE 5.UJANJA KWA KUCHANGAMKA
Hongera sana
 
Mimi innojembe kiboko ya Itpersonal nimelamba asali asanteni kwa ushirikiano.....nnamengi ya kusema ila kwa uchache nseme 1.MUNGU 2.TIME 3.PATIENT 4.CONFIDENCE 5.UJANJA KWA KUCHANGAMKA
All the best
 
Mimi innojembe kiboko ya Itpersonal nimelamba asali asanteni kwa ushirikiano.....nnamengi ya kusema ila kwa uchache nseme 1.MUNGU 2.TIME 3.PATIENT 4.CONFIDENCE 5.UJANJA KWA KUCHANGAMKA
Alikubeza sana, hongera umeenda kwenye asali ya nyuki wadogo, nimekuona pale, ukawe mtumishi mwema!
 
Subiri, wazoefu wanakuja na majibu....
 
Hongera kwa kupata shavu kwa kifupi si lazima nMB mkuu,ata kama CRDB au bank nyingine usikariri NMB
Kama muajiri wako yuko Dodoma ni vizuri ukatembea na vyeti vyako na kila kitu kilichopo kwenye tangazo ili ukichukua barua upeleke kwa muajiri wako
Maana utumishi unafuata barua tu then unaenda nayo kwa muajiri wako,ambapo yeye atakupa muongozo nni kinafuata
 
Ndio, unatakiwa uende na vyeti, hasa cha 0-level au A-level inategemea na sifa za kazi uliyokuwa umeomba

Kingine ni lazima uwe na kitambulisho chochote cha kukutambulisha, either NIDA,KUPIGA KURA,LESENI na kama hivo vyote huna itabidi uende na barua ya utambulisho

Kuhusu Bank, ni bank yoyote tu, ata kama ulikuwa unatumia CRDB/NBC nk, ukiamua kuzitumia hizo kupokelea mshahara ni maamuzi yako na ukiamua kutumia NMB itakubidi ufungue Acc Mpya
 
Unapofuata barua unatakiwa uwe na kitambulisho (Leseni ya udereva, Hati ya kusafiria, Kitambulisho cha NIDA, kadi ya mpiga kura, Kadi ya NSSF, kitambulisho cha kazi au barua ya utambulisho kutoka serikali ya mtaa). Ukiwa na kadi ya Bima ya Afya wanazingua

Vyeti vya kitaaluma, vyeti vya kuzaliwa, vyeti vya kuzaliwa vya watoto, cheti cha ndoa, akaunti za benki utaenda navyo kwa mwajiri wako.
 
Ooooh Nina barua ya kutambuliwa ya mwenyekiti nilioendanayo kwenye interview mwezi wa 12 naamini itakubaliwa(sijajua kama wanataka barua recently ya mwezi huu au vp) kingine nlikua nataka kutumia kadi ya nmb kwasababu CRDB naona wananizingua kwahyo kama kwenye kufata barua haina haja ya account number basi ngojea niifatilie taratibu ya NMB next week
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…