Gotzon
JF-Expert Member
- Feb 25, 2021
- 244
- 305
Hongera mkuuAsanteeeee ulikua na Mimi bega kwa bega tangu mwanzo asanteeeee sana[emoji1488] nakutakia neema hii pia ifike kwako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera mkuuAsanteeeee ulikua na Mimi bega kwa bega tangu mwanzo asanteeeee sana[emoji1488] nakutakia neema hii pia ifike kwako
Hongera sana bro. Subra ni muhim sanaMimi innojembe kiboko ya Itpersonal nimelamba asali asanteni kwa ushirikiano.....nnamengi ya kusema ila kwa uchache nseme 1.MUNGU 2.TIME 3.PATIENT 4.CONFIDENCE 5.UJANJA KWA KUCHANGAMKA
Hongera sana kijana, ukawe mtumishi mwemaMimi innojembe kiboko ya Itpersonal nimelamba asali asanteni kwa ushirikiano.....nnamengi ya kusema ila kwa uchache nseme 1.MUNGU 2.TIME 3.PATIENT 4.CONFIDENCE 5.UJANJA KWA KUCHANGAMKA
Hongera sanaMimi innojembe kiboko ya Itpersonal nimelamba asali asanteni kwa ushirikiano.....nnamengi ya kusema ila kwa uchache nseme 1.MUNGU 2.TIME 3.PATIENT 4.CONFIDENCE 5.UJANJA KWA KUCHANGAMKA
All the bestMimi innojembe kiboko ya Itpersonal nimelamba asali asanteni kwa ushirikiano.....nnamengi ya kusema ila kwa uchache nseme 1.MUNGU 2.TIME 3.PATIENT 4.CONFIDENCE 5.UJANJA KWA KUCHANGAMKA
Hongera mtaalamMimi innojembe kiboko ya Itpersonal nimelamba asali asanteni kwa ushirikiano.....nnamengi ya kusema ila kwa uchache nseme 1.MUNGU 2.TIME 3.PATIENT 4.CONFIDENCE 5.UJANJA KWA KUCHANGAMKA
Hongera mtaalam
Wapi ulipo 'Utumishi wako fair'
Alikubeza sana, hongera umeenda kwenye asali ya nyuki wadogo, nimekuona pale, ukawe mtumishi mwema!Mimi innojembe kiboko ya Itpersonal nimelamba asali asanteni kwa ushirikiano.....nnamengi ya kusema ila kwa uchache nseme 1.MUNGU 2.TIME 3.PATIENT 4.CONFIDENCE 5.UJANJA KWA KUCHANGAMKA
Subiri, wazoefu wanakuja na majibu....Asanteeeni sana niendelee kuuliza jamani hivi kwenye kufata barua Dodoma nnatakiwa niende na vyeti vyangu au inakuaje? Na je inshu ya Account ya benki ni ya kwenda navyo au vipi (maana mimi sijawai kuwa na account ya NMB sasa sijafahamu ilo kwa mwenye uzoefu ANISAIDIE kwa ilo)
Asanteeeni sana niendelee kuuliza jamani hivi kwenye kufata barua Dodoma nnatakiwa niende na vyeti vyangu au inakuaje? Na je inshu ya Account ya benki ni ya kwenda navyo au vipi (maana mimi sijawai kuwa na account ya NMB sasa sijafahamu ilo kwa mwenye uzoefu ANISAIDIE kwa ilo)
Kama kapata atakuwa yupo ndani ya kimbinyiko😂El marabiosh vp mwanangu kuna pdf huko mambo kwako bado ?
Ndio, unatakiwa uende na vyeti, hasa cha 0-level au A-level inategemea na sifa za kazi uliyokuwa umeombaAsanteeeni sana niendelee kuuliza jamani hivi kwenye kufata barua Dodoma nnatakiwa niende na vyeti vyangu au inakuaje? Na je inshu ya Account ya benki ni ya kwenda navyo au vipi (maana mimi sijawai kuwa na account ya NMB sasa sijafahamu ilo kwa mwenye uzoefu ANISAIDIE kwa ilo)
Air condition and refrigerator mwendo wa kulamba asali.Mimi innojembe kiboko ya Itpersonal nimelamba asali asanteni kwa ushirikiano.....nnamengi ya kusema ila kwa uchache nseme 1.MUNGU 2.TIME 3.PATIENT 4.CONFIDENCE 5.UJANJA KWA KUCHANGAMKA
Unapofuata barua unatakiwa uwe na kitambulisho (Leseni ya udereva, Hati ya kusafiria, Kitambulisho cha NIDA, kadi ya mpiga kura, Kadi ya NSSF, kitambulisho cha kazi au barua ya utambulisho kutoka serikali ya mtaa). Ukiwa na kadi ya Bima ya Afya wanazinguaAsanteeeni sana niendelee kuuliza jamani hivi kwenye kufata barua Dodoma nnatakiwa niende na vyeti vyangu au inakuaje? Na je inshu ya Account ya benki ni ya kwenda navyo au vipi (maana mimi sijawai kuwa na account ya NMB sasa sijafahamu ilo kwa mwenye uzoefu ANISAIDIE kwa ilo)
Air condition and refrigerator mwendo wa kulamba asali.