Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?


Muajiri yuko dar
 
Hiyo haitatumika isipokuwa watakuambia uwape vyeti tu.
 
Baada ya kukaa database miez nane na kidgo Mung ni mwema [emoji120] na mm pia nmelamba asali.

Wakuu hakuna haja ya kukata tamaa utumishi wako real.

Kwa kifupi nlkuwa nishaanza kukata tamaa maana ckutokea kwenye placement za mwanzo nikajua bye bye baba Jane.

Leo niko na harakati zangu nimepigiwa cmu nying Sanaa za hongera.

Utumishi hakuna connection..tuendelee kuongeza received na tusiache kwenda interview.
 
Hongera kijana
 
nenda na vyeti
 
Hongera sana mkuu, habari njema sana hizi leo humu!
 
Hongera sana mkuu
 
Hongera kaka
 
dahh umeongea fact kaka ngoja nijaribu.
 
Mimi innojembe kiboko ya Itpersonal nimelamba asali asanteni kwa ushirikiano.....nnamengi ya kusema ila kwa uchache nseme 1.MUNGU 2.TIME 3.PATIENT 4.CONFIDENCE 5.UJANJA KWA KUCHANGAMKA
hongera sana inno ila mwanao IT personel aliamua ajilambishe asali bana.alafu hakulizika akajipangia na mshahara juu 🤣 🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…