Doubleg Malafyale
JF-Expert Member
- Feb 17, 2017
- 2,733
- 3,561
Afya na ualimu elf 24afya na ualimu hamna jipya
asante sana mkuu nitafanya hivyoHongera sana masterπππ―
Muda wako ukifika ni umefika tu, hata usipoamini ila ndio uhalisia huo. Hongera sana mkuu, Nakutakia kheri na fanaka tele ktk maisha yako ya Utumishi wa umma.
Kumbuka kutoa shukurani kwa kusaidia makundi yenye uhitaji toka ktk jamii yako kama vile watoto yatima, wagonjwa, wazee n.k
Kufanya hvyoβοΈβοΈutazidi kushangaa jnsi milango ya baraka inavyofunguka kwa kasi katika maisha yako.
β€πππ―
Wakuu mbona mfumo wa Taessa unazingua saana mwenye link yake naomba atumeView attachment 2912637
GAME mbichi asali tutalamba tu, kada nyinginying tu wananalambaJamani mnao lamba asali ni kada zipi mbona sielewi
Hongera sana, hakika hakuna kukata tamaaMungu ni mwema hatimae na mimi nimelamba asali leo hii. Tusiache kupambana ndugu zangu yaani hata siamini
Hv kwa mara ya Kwanza unachagua ipi kati ya hizo?
ApplicantHv kwa mara ya Kwanza unachagua ipi kati ya hizo? View attachment 2913055
asante mkuu hakuna kukata tamaaHongera sana, hakika hakuna kukata tamaa
Iyo ya mwanzo mkuu, applicant/expertHv kwa mara ya Kwanza unachagua ipi kati ya hizo? View attachment 2913055
Eeh sjajua shida nn kuna pages znagomaJamii forum sijui wamekuja kuwaje, kuna baadhi ya nyuzi ukifungua kupitia app yao inagona inasema sever error, ina taka kuingia kwa browser. Huu ni uzi mmojawapo yupo anaepata changamoto kama hii??
Jamani vipi.Eeh sjajua shida nn kuna pages znagoma
Unamaanisha nn ndg?Jamani vipi.
Veta ni kuzuri au ndio kawaida tuu
Yani kimshahara,Unamaanisha nn ndg?
Bora kitu kuliko kukosa kitu, nenda kapambane kwa hicho kwanza sisi wengine hata hatujui ni lini.....Yani kimshahara,
Ni kuzuri kuzidi halmashauri au sawa sawa.
[emoji23]daa ulienda kuangalia mechi bhn ulivyoona yanga wamefunga ukaamua kutoka ndoki..mkeka umechanikaleo nimeamka nikasema ngoja nitest kuomba kazi ya ulinzi nione kama ajira ningumu kupata utumishi tuu au hadi private sectors,nikaenda baa moja hivi aisee kabla sijamlizia hata sentence naona watu wananiletea mshale na rungu nikala kona..