usikate tamaa mkuu utapata tu hata kwa kuchelewaNakumbuka siku natoka kwenye oral mwenyekiti wa panel alinikomalia na kunisisitiza mara kwa mara niwe naingia kwenye website ya secretariat ya Ajira hadi akawa ananielekeza namna ya kuingia dah Leo naona kama NI database basi itakuwa ishaexpire maana nilipiga February 15 mwaka jana
walisema kabla ya mwaka wa fedha mpyaZitatoka mwaka wa fedha 2024/2025
Duuu inabidi unipe madini maana ntauzuria hii ya examination officer mkuuIlikuwa Examination officer mkuu
Mbona wachache haoEASTC - EXAMINATION OFFICER II-nafasi 1
Wameitwa watu 1098[emoji16][emoji16]
Hiyo examination officerKada gani kiongozi??
Huenda wataanza kutangaza mwezi April hukowalisema kabla ya mwaka wa fedha mpya
pole chief utachomokaI feel exhausted
Written 3
Oral 2
Masimango yqnaongezeka kitaa....... utaskia kwani alikuwa anasoma Sasa, baba yake alikuwa anamtumia pesa anaenda kulewea tu na Malaya. 😄😭
Off
mkuu mfwende ulitoboa?pole chief utachomoka
I feel exhausted
Written 3
Oral 2
Masimango yqnaongezeka kitaa....... utaskia kwani alikuwa anasoma Sasa, baba yake alikuwa anamtumia pesa anaenda kulewea tu na Malaya. 😄😭
Off
Ipo sku yako mkuu,, hio mbona juzi tu tena na ucheleweshaji wao wa sku hizi vuta subira tu naamin utafikiwa, kuna jamaa namfaham aliwah fika oral 1 tu around mwaka 2020 last year may akapangiwa hapo alishapagawa na maisha;, kada yao mwajiri mkuu ni serikali na kada yao ni nadra sana kutangazazwa kazi, alishaamua kusoma vicourse vingine ambavyo aliona vingemsaidie kutoboaNakumbuka siku natoka kwenye oral mwenyekiti wa panel alinikomalia na kunisisitiza mara kwa mara niwe naingia kwenye website ya secretariat ya Ajira hadi akawa ananielekeza namna ya kuingia dah Leo naona kama NI database basi itakuwa ishaexpire maana nilipiga February 15 mwaka jana
usikate tamaa mkuu siku yako ipo.I feel exhausted
Written 3
Oral 2
Masimango yqnaongezeka kitaa....... utaskia kwani alikuwa anasoma Sasa, baba yake alikuwa anamtumia pesa anaenda kulewea tu na Malaya. 😄😭
Off
Hakuna bado hawajawekakuna pdf uko
Si wanawekaga jioni wale[emoji2]kuna pdf uko
Uko na bundle la kutosha jobless[emoji2]View attachment 2919873 tuburudike kidogo majobless wenzangu. [emoji1787]
Umeamua kuchangamsha uzii😂😂kuna pdf uko