Sys-root
JF-Expert Member
- Mar 11, 2016
- 365
- 548
usikate tamaa mkuu utapata tu hata kwa kuchelewaNakumbuka siku natoka kwenye oral mwenyekiti wa panel alinikomalia na kunisisitiza mara kwa mara niwe naingia kwenye website ya secretariat ya Ajira hadi akawa ananielekeza namna ya kuingia dah Leo naona kama NI database basi itakuwa ishaexpire maana nilipiga February 15 mwaka jana