Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Nakumbuka siku natoka kwenye oral mwenyekiti wa panel alinikomalia na kunisisitiza mara kwa mara niwe naingia kwenye website ya secretariat ya Ajira hadi akawa ananielekeza namna ya kuingia dah Leo naona kama NI database basi itakuwa ishaexpire maana nilipiga February 15 mwaka jana
usikate tamaa mkuu utapata tu hata kwa kuchelewa
 
I feel exhausted
Written 3
Oral 2
Masimango yqnaongezeka kitaa....... utaskia kwani alikuwa anasoma Sasa, baba yake alikuwa anamtumia pesa anaenda kulewea tu na Malaya. 😄😭

Off

Pole sana mkuu, kipindi unachopitia ni kigumu lkn naamini muombe M/Mungu akupe wepesi, weka jitihada ktk utafutaji na mwisho kuwa na Subra.

NI suala la muda/ wakati tu lkn utachomoka💪👊💯
 
Nakumbuka siku natoka kwenye oral mwenyekiti wa panel alinikomalia na kunisisitiza mara kwa mara niwe naingia kwenye website ya secretariat ya Ajira hadi akawa ananielekeza namna ya kuingia dah Leo naona kama NI database basi itakuwa ishaexpire maana nilipiga February 15 mwaka jana
Ipo sku yako mkuu,, hio mbona juzi tu tena na ucheleweshaji wao wa sku hizi vuta subira tu naamin utafikiwa, kuna jamaa namfaham aliwah fika oral 1 tu around mwaka 2020 last year may akapangiwa hapo alishapagawa na maisha;, kada yao mwajiri mkuu ni serikali na kada yao ni nadra sana kutangazazwa kazi, alishaamua kusoma vicourse vingine ambavyo aliona vingemsaidie kutoboa
 
Samanini wakuu naitaji mtu wa kunifundisha Data analysis kama yupo nipatie number tuya jenge
 
Back
Top Bottom