[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tena ukawakande kwelikweli mpaka wakukabidhi barua hapohapo usisubiri pdf
Ebu tauanze na swali la kwanza ambalo common.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mwifwa njoo tupeane madini ya oral sasa ukachukue kazi hii nafasi ni yako niamini mimi
Hongera sana kaka .Mimi nahisi nishakandwa ,ila nasubiria pdf nijue nimepata ngapi huko...Nishapita mkuu, walikuwa bado hawajamaliza kuweka
Umeongea jambo la msingi mkuu, kwa pamoja inapasa kuangalia tunavukaje kwenye usaili wa mahojiano.Hongera Mliovuka Hiyo Hatua na Sasa Mnaenda Kujiuza Kwenye Oral.
Sahauni Hayo Matokeo Na Mhamishe Jitihada Zote Kwenye Oral.
Inabidi Tufanye Kesi ndogo ndani ya kesi Ya msingi.
Immediately Mpate Hints za Kupangana Na Oral Kwnye Uzi huu..
Target yangu ni angalau niingie kanzidata, ngoja nikapambane
That feeling,ushakata tamaa haupo alafu unajikuta ndaniMkuu nimepita, namshukuru Mungu kwa hatua.
Walichelewesha kuniwekea matokeo, nikahitimisha, asubuhi ya leo nikaangalia profile nikakuta wameniwekea
Kama kawaida mkuu, tuwe na subira Muumba atafanya yakeBado Mimi tu MDAs & LGAs kalata ya mwisho dah.
Sent from my Infinix X624B using JamiiForums mobile app
Haya matokeo inaonekana walianza kuyatoa kidogo kidogo maana nyomi lake tuliliona kwenye pdf ya shortlist.Hahaha, Mkuu unatuchanganya tunaosali kukuombea, tumwambie kipi Mungu kwa umepita au hujapita kwenda Oral?
All in all hongera sana Mkuu.
Hahahaaa, Ahsante sana mkuu.This is so great just nimepass mm [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Wamenipa majibu kwenye profileKwani pdf imepandishwa tayari?
Mzee ngoma ilienda kuchekiwa kwenye VAR ?HABARI ZA HIVI PUNDE:
Hatimaye kipofu kaona Mwezi, hii ni sherehe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Selected for Oral Interview.
Kumbe kunakuwaga na raha hivi, halafu hamsemi...
wizy niazime suti yako nikawande tena kwenye hatua ya mwisho.
Prok usisahau kuja na mwavuli ili suti ya wizy isije ikapauka na joto bure[emoji3][emoji3][emoji3]
Ahsante sana mkuu.Jaman I was so frustrated kama nakujua vile maana always unakujaga hapa ooh nmekandwa, jana ndo nmeumia mno. Hamna raha pia unaisikia kama a person u have been with in a journey akifanikiwa pia. Congratulations. Am so happy. This is a step. We pray for the next one.
Ahsante sana mkuu, tuendelee kuombea mapambano ndio yamepamba moto sasaHongera sana kaka kwa hatua hii kubwa na muhimu,Jiandae kuwa mtulivu wa akili na mwili na Muombe sana Mungu naimani na wewe Kaka be blessed cake ya taifa ni kubwa sana tukaichukue.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Uhakika hii nafasi akaichukue kabisa maana mimi yangu tayari bado barua tu[emoji23][emoji23][emoji23]
Ahsante sana kiongoziKila laheri ndugu...
Hongera Mliovuka Hiyo Hatua na Sasa Mnaenda Kujiuza Kwenye Oral.
Sahauni Hayo Matokeo Na Mhamishe Jitihada Zote Kwenye Oral.
Inabidi Tufanye Kesi ndogo ndani ya kesi Ya msingi.
Immediately Mpate Hints za Kupangana Na Oral Kwnye Uzi huu..
Ahsante sana mkuu, tuendelee kuombeana katika kila jambo la kheriHongera bro nipo na furaha kama nakujua vile. Yakawe mapambano mema katika hii hatua inayofuata.
Katika hili nakutegemea mkuu.tuanze maandalizi ya oral kiongozi [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Hahahhaa.Am so happy for you utafkr nakujua vile,sema ww ni maarufu hili jukwaa.Mungu akufanyie wepesi. Hii inanipa moyo hata mm