Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mwifwa njoo tupeane madini ya oral sasa ukachukue kazi hii nafasi ni yako niamini mimi
Ebu tauanze na swali la kwanza ambalo common.

Ukiambiwa uteme ung'eng'e kuhusu elimu yako, unavunjaje yai?

Toa mfano niishi nao, sitaki lolongo nina majeraha mengi ya kukandwa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hongera Mliovuka Hiyo Hatua na Sasa Mnaenda Kujiuza Kwenye Oral.
Sahauni Hayo Matokeo Na Mhamishe Jitihada Zote Kwenye Oral.
Inabidi Tufanye Kesi ndogo ndani ya kesi Ya msingi.
Immediately Mpate Hints za Kupangana Na Oral Kwnye Uzi huu..
Umeongea jambo la msingi mkuu, kwa pamoja inapasa kuangalia tunavukaje kwenye usaili wa mahojiano.

Kama itawezekana tuweze kujuzana aina ya maswali common na namna ya kuyajibu.
 
Hahaha, Mkuu unatuchanganya tunaosali kukuombea, tumwambie kipi Mungu kwa umepita au hujapita kwenda Oral?

All in all hongera sana Mkuu.
Haya matokeo inaonekana walianza kuyatoa kidogo kidogo maana nyomi lake tuliliona kwenye pdf ya shortlist.

Jana yalipoanza kutolewa mimi nililikuwa sijawekewa halafu nikahimisha kuwa nishakandwa, kumbw ilikuwa bado.

Leo asubuhi roho ikawa inasitw nikaenda kuangalia profile tena nikakuta breaking news[emoji3][emoji3][emoji3]
 
HABARI ZA HIVI PUNDE:

Hatimaye kipofu kaona Mwezi, hii ni sherehe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Selected for Oral Interview.

Kumbe kunakuwaga na raha hivi, halafu hamsemi...

wizy niazime suti yako nikawande tena kwenye hatua ya mwisho.

Prok usisahau kuja na mwavuli ili suti ya wizy isije ikapauka na joto bure[emoji3][emoji3][emoji3]
Mzee ngoma ilienda kuchekiwa kwenye VAR ?
Maana tulikua tushatandika maturubai kwa ajili ya matanga...
 
Jaman I was so frustrated kama nakujua vile maana always unakujaga hapa ooh nmekandwa, jana ndo nmeumia mno. Hamna raha pia unaisikia kama a person u have been with in a journey akifanikiwa pia. Congratulations. Am so happy. This is a step. We pray for the next one.
Ahsante sana mkuu.
Hapa tushakuwa kama familia, tumefikia stage ya kuumia na kufurahi kwa pamoja maana changamoto iliyotuunganisha hapa ndio inayotuweka karibu hatimaye mioyo ya huruma inastawi.

Tuendelee kupambana, ninyi mlio na uzoefu wa oral bila shaka hamtatuacha nyuma tushikeni mikono na sisi tukapambane vizuri kwa hatua hii
 
Hongera sana kaka kwa hatua hii kubwa na muhimu,Jiandae kuwa mtulivu wa akili na mwili na Muombe sana Mungu naimani na wewe Kaka be blessed cake ya taifa ni kubwa sana tukaichukue.
Ahsante sana mkuu, tuendelee kuombea mapambano ndio yamepamba moto sasa
 
Hongera Mliovuka Hiyo Hatua na Sasa Mnaenda Kujiuza Kwenye Oral.
Sahauni Hayo Matokeo Na Mhamishe Jitihada Zote Kwenye Oral.
Inabidi Tufanye Kesi ndogo ndani ya kesi Ya msingi.
Immediately Mpate Hints za Kupangana Na Oral Kwnye Uzi huu..

Ahsante sana mkuu.

Wazoefu msituangushe kwenye hii kesi ndogo ndani ya kesi ya msingi
 
Back
Top Bottom