Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Pinacoladee Leo IT vp? Mwaka jana walifanya MDA LGA walitoboa kama wote. Mwaka huu Sasa[emoji16] na sijui zile 44 za MH. Waziri zipo au ndio siasa tu
 
Pinacoladee Leo IT vp? Mwaka jana walifanya MDA LGA walitoboa kama wote. Mwaka huu Sasa[emoji16] na sijui zile 44 za MH. Waziri zipo au ndio siasa tu
Wamepoa Sanaa,mm siwaelew kbs leo Psrs wapo fb uko wanatak waliolamb asali watoe shuhuda..wengin wanawapiga za uso[emoji1787][emoji1787]...wamesem waliolamba asali watoe shuhuda lkn jobless ndo wanaongoz kutoa shuhuda za kukosa[emoji23][emoji23]
 
Wakuu aminini nawaambia nyie ambao sijui mnaitwa interview, sijui mnaenda mpaka oral, mnabaki kweny database mna afadhali wakuu, sisi wengine toka tumalize miaka hiyo hatujawahi omba ajira yeyote kupitia Ajira Portal, kiufupi tunawaonea donge nyie ambao atleast mnaishi kwa matumain flani huenda kuna siku mtalamba asali....[emoji88]
 
sasa si uombe au kada yako haitangazwi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…