El marabiosh
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 2,382
- 4,978
kikikizima hiko kimulimuli tutakaa wiki hizo ✌️Sku inaisha ivo no Pdf[emoji28]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kikikizima hiko kimulimuli tutakaa wiki hizo ✌️Sku inaisha ivo no Pdf[emoji28]
Daaah kizime tu ukiingia ghafla bila kuchek tarehe vzuri kinashtua,unawez download againkikikizima hiko kimulimuli tutakaa wiki hizo [emoji3577]
Dah watatuua na presha asee mpaka Easter ipiteNadhani mpk baada ya Easter ndio tutegemee pdf
naona ushasanda ndugu yanguBADO HAMJASEMA , MPAKA MSEMEEE
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Sent from my Nokia 6.2 using JamiiForums mobile app
ndugu yangu unaona tunavyopalangana na serikali ukuthanks chief
Wamepoa Sanaa,mm siwaelew kbs leo Psrs wapo fb uko wanatak waliolamb asali watoe shuhuda..wengin wanawapiga za uso[emoji1787][emoji1787]...wamesem waliolamba asali watoe shuhuda lkn jobless ndo wanaongoz kutoa shuhuda za kukosa[emoji23][emoji23]Pinacoladee Leo IT vp? Mwaka jana walifanya MDA LGA walitoboa kama wote. Mwaka huu Sasa[emoji16] na sijui zile 44 za MH. Waziri zipo au ndio siasa tu
Basi wakae ivo wakija kutoa pdf ni dude lililoshibaNadhani mpk baada ya Easter ndio tutegemee pdf
Iyo selected for oral interview ina2pa kichwa aisee tunaamin tumo hata atuelew[emoji3]. Wanajua kututesa awaAJIRA MPYA ZINATANGAZWA WAKATI KANZIDATA TUPO KIBAO....STRESS [emoji817]
AJIRA MPYA ZINATANGAZWA WAKATI KANZIDATA TUPO KIBAO....STRESS 💯
selected for oral interview hii ni yenyewe kabisa unalamba asaliIyo selected for oral interview ina2pa kichwa aisee tunaamin tumo hata atuelew[emoji3]. Wanajua kututesa awa
Sawa mkuu,nasubiri[emoji4]selected for oral interview hii ni yenyewe kabisa unalamba asali
kaa mkao wa kula anza kuandaa nauli mdogomdogo kwa ajili ya masijala ya waziIyo selected for oral interview ina2pa kichwa aisee tunaamin tumo hata atuelew[emoji3]. Wanajua kututesa awa
InshaAllah[emoji4][emoji28]..sjui itakuaje iyo sikukaa mkao wa kula anza kuandaa nauli mdogomdogo kwa ajili ya masijala ya wazi
sasa si uombe au kada yako haitangazwiWakuu aminini nawaambia nyie ambao sijui mnaitwa interview, sijui mnaenda mpaka oral, mnabaki kweny database mna afadhali wakuu, sisi wengine toka tumalize miaka hiyo hatujawahi omba ajira yeyote kupitia Ajira Portal, kiufupi tunawaonea donge nyie ambao atleast mnaishi kwa matumain flani huenda kuna siku mtalamba asali....[emoji88]
Labda BSC in DIVINITY with ITsasa si uombe au kada yako haitangazwi