El marabiosh
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 2,382
- 4,978
aisee wangekua na uzi uku wangejuta. 🤣 🤣Wamepoa Sanaa,mm siwaelew kbs leo Psrs wapo fb uko wanatak waliolamb asali watoe shuhuda..wengin wanawapiga za uso[emoji1787][emoji1787]...wamesem waliolamba asali watoe shuhuda lkn jobless ndo wanaongoz kutoa shuhuda za kukosa[emoji23][emoji23]
Wangepigwa za uso tu adi wangekimbia wnyew[emoji23]aisee wangekua na uzi uku wangejuta. [emoji1787] [emoji1787]
anyway ngoja tuwapandie hukohuko mpaka kieleweke🤣Wangepigwa za uso tu adi wangekimbia wnyew[emoji23]
DahJamn kuna ndugu zangu wanajiandaa na interview ya foreign service officer II wapitie maeneo gani kwa wanaojua mnisaidie
Lipo kaangalie kama upokuna pdf
nimeshachungulia apeche aloloLipo kaangalie kama upo
Kaka inshort Utumishi hawajawahi toa kazi zinahusiana na nilichosoma ,, ndo mana nikiwaona watu humu wanaongea lini database iawakumbuka nasema God help them sisi hata kutolewa hizo kazi hakuna..[emoji16]sasa si uombe au kada yako haitangazwi
Mkuu ni Bachelor of Science in Forestry [emoji1787][emoji2]Labda BSC in DIVINITY with IT
shuhuda siku hizi zimekua hadimu Pd
wakuna pdf
Wanaleta stress tu ndo Database hiyo...!!!!ndo week nzima wanachambua majina yale.....kuna pdf
Kazi ipo ,hiyo "data bezi " ya Electrical Engineer mmoja kila baada ya pdf 3 ni balaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nimeshachungulia apeche alolo
🤣 🤣 tutajamba cheche.Kazi ipo ,hiyo "data bezi " ya Electrical Engineer mmoja kila baada ya pdf 3 ni balaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kazi ipo
Sent from my Nokia 6.2 using JamiiForums mobile app
🤣🤣 mtu unaweza ukapasua simuwa
Wanaleta stress tu ndo Database hiyo...!!!!ndo week nzima wanachambua majina yale.....
Wajitafakari !!!!inakela sanaaaa...
😁🤣 🤣 tutajamba cheche.
mhh huwa unasoma matangazo lakini.mi naonaga placement za maafisa misitu uwe unasoma post unaweza kuta unazipitaga tu.Mkuu ni Bachelor of Science in Forestry [emoji1787][emoji2]
Ahsante sana mkuuDah
Wasome Protocol
Etiquette
Sheria zote za East Africa
Sera ya Mambo ya Nje ya Taifa
Aina za Balozi
Kazi za Ubalozi
Kwa mengine njoo PM
Jamn kuna ndugu zangu wanajiandaa na interview ya foreign service officer II wapitie maeneo gani kwa wanaojua mnisaidie