Vumilia tu hata Mimi nilikuwa nimeshakata tamaa na utumishi lakn now nipo kazini naomba nikutie moyoTar 15.1 mwaka huu,Kada ya afisa habari
Sawa mkuu,vp ulipokelewa vzur kazin?tupe kastor kidogoVumilia tu hata Mimi nilikuwa nimeshakata tamaa na utumishi lakn now nipo kazini naomba nikutie moyo
Jitaid uwe unaingia kwnye web yao na ss hivi jiandae written zitakua online,usisahau kuhusisha au kuapdate sehem ulipo ili upangiwe kituo cha mtihan sehm utakayokuwep,Nadhan miez hii zitakuj interview nying bandika banduaMimi nina kareceived kangu kamoja, hata sielewi kama watu walishaitwa oral. Au bado.
Walinipokea vizuri sana kwa sababu halmashauri Ina makusanyo makubwa sana kwa level ya halmashauri ukiondoa majiji hii halmashauri ni ya pili Tanzania nzima kwa ukusanyaji wa mapatoSawa mkuu,vp ulipokelewa vzur kazin?tupe kastor kidogo
Boss WA Halmashauri ya wang'ing'ombe ,umepotea sana humu ,vipi ?Not selected for oral wakati kwenye website [emoji888]status selected for oral
Baba Jane bye byeNot selected for oral wakati kwenye website 🕸status selected for oral
Kwa hiyo unataka kusema tunafuata status ya kwenye app si ndio?Baba Jane bye bye
Kulingana na wakongwe wa statusKwa hiyo unataka kusema tunafuata status ya kwenye app si ndio?
Baba jeni bye bye😂Not selected for oral wakati kwenye website 🕸status selected for oral
Tunasubiria pdf mzito sana kwa stress sana [emoji848]Jobless mnalala sana,kumekuchaaa leo siku ya kazi pdf tuanze kulichungulia chungulia jioni[emoji23][emoji23]
Jobless mnalala sana,kumekuchaaa leo siku ya kazi pdf tuanze kulichungulia chungulia jioni😂😂
Mmmmh tunaendelea kuishi kwa matumainiJobless mnalala sana,kumekuchaaa leo siku ya kazi pdf tuanze kulichungulia chungulia jioni😂😂
[emoji3][emoji3][emoji3]Mungu atupe heri na matumaini zaidi[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] yaani utumishi ni utumishi kweli kweli , utumishi wamejua kuwatumikisha jobless kulogin kwenye web mpaka wamekuwa watumishi wa kulogin kwenye web , yaani jobless wamekuwa watumishi bila Placement [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Baba jeni kivipi[emoji41]Baba jeni bye bye[emoji23]
Sawa sawa mkuuLeo lazima watu watoe shuhuda za kulamba asali [emoji39][emoji39][emoji39]
Vip we ulifanya lini usailiSawa sawa mkuu