Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Mimi nina kareceived kangu kamoja, hata sielewi kama watu walishaitwa oral. Au bado.
 
Mimi nina kareceived kangu kamoja, hata sielewi kama watu walishaitwa oral. Au bado.
Jitaid uwe unaingia kwnye web yao na ss hivi jiandae written zitakua online,usisahau kuhusisha au kuapdate sehem ulipo ili upangiwe kituo cha mtihan sehm utakayokuwep,Nadhan miez hii zitakuj interview nying bandika bandua
 
IMG_3176.jpg
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] yaani utumishi ni utumishi kweli kweli , utumishi wamejua kuwatumikisha jobless kulogin kwenye web mpaka wamekuwa watumishi wa kulogin kwenye web , yaani jobless wamekuwa watumishi bila Placement [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3][emoji3][emoji3]Mungu atupe heri na matumaini zaidi
 
Back
Top Bottom